cheusimangala JF-Expert Member Joined Feb 27, 2010 Posts 2,585 Reaction score 500 Jan 11, 2012 #21 Ndallo said: Pamoja na kuonekana kua ni mbabe na hiyo sura lakini inawezekana akifika kwa my wife wake anatumwa chunvi dukani! Click to expand... kwani kutumwa chumvi dukan na mke ni jambo baya,akikuomba umsadie kuchambua mchicha si ndio utakufa kabisa. b2t:nimependa pozi la huyu mzee.
Ndallo said: Pamoja na kuonekana kua ni mbabe na hiyo sura lakini inawezekana akifika kwa my wife wake anatumwa chunvi dukani! Click to expand... kwani kutumwa chumvi dukan na mke ni jambo baya,akikuomba umsadie kuchambua mchicha si ndio utakufa kabisa. b2t:nimependa pozi la huyu mzee.
Daffi Jr JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 3,824 Reaction score 909 Jan 11, 2012 #22 Mlinzi wa Salva Kiir wa Sudan kusini!hakika hiyo ndo sura ya kazi!
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Jan 11, 2012 #23 Tz-guy said: Huyu nadhani hata yeye anajiogopa. Click to expand... akijiangalia kwenye kioo au ?!
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Jan 11, 2012 #24 kichomiz said: Asee!! Jamani hakuna mwenye contact zake?tukimpata huyu tumpe kazi ya kumtishia mkulu pale magogoni,atajiuzuru faster au nyie mnasemaje? Click to expand... Teh teh teh ! Umewaza mbali wewe !
kichomiz said: Asee!! Jamani hakuna mwenye contact zake?tukimpata huyu tumpe kazi ya kumtishia mkulu pale magogoni,atajiuzuru faster au nyie mnasemaje? Click to expand... Teh teh teh ! Umewaza mbali wewe !
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,113 Jan 14, 2012 #25 Black Bat said: saa aliyovaa imenikumbusha mbali Click to expand... Disco or Asahi, safi sana wewe ndio time keeper shule Hilo tshirt lake je?
Black Bat said: saa aliyovaa imenikumbusha mbali Click to expand... Disco or Asahi, safi sana wewe ndio time keeper shule Hilo tshirt lake je?
Ambitious JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,143 Reaction score 884 Jan 14, 2012 #26 Hii ngoma Tarime Rorya..
Pendael laizer JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 958 Reaction score 105 Jan 14, 2012 #27 Anafaa tumpeleke kwa ngeleja
mwandiga JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 1,506 Reaction score 664 Jan 14, 2012 #28 Black Bat said: saa aliyovaa imenikumbusha mbali Click to expand... Hata mimi imenikumbusha mbali, inaitwa Disco
Black Bat said: saa aliyovaa imenikumbusha mbali Click to expand... Hata mimi imenikumbusha mbali, inaitwa Disco
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Jan 14, 2012 #29 makonyeza Black Bat said: saa aliyovaa imenikumbusha mbali Click to expand...
Mangimeli JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,151 Reaction score 289 Jan 16, 2012 #30 inanikumbusha oparation mkapa jkt ,,ruvu