KAZI NZURI YA MH.RAIS MAGUFULI

KAZI NZURI YA MH.RAIS MAGUFULI

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Sasa vijana watapata pa kukaaaa na kusoma, chalenge zingine zitatuliwa i hope.......
1469195018197.jpg
1469195032090.jpg
1469195047554.jpg
 
Nailaumu sana serikali ya UKAWA kwa kusababisha watoto wa masikini kukaa chini toka nchi ipate uhuru. Nashukuru sana chama cha majipu kwa kuliona hilo.
 
Nailaumu sana serikali ya UKAWA kwa kusababisha watoto wa masikini kukaa chini toka nchi ipate uhuru. Nashukuru sana chama cha majipu kwa kuliona hilo.
hahahaha.

swissme
 
Akimaliza hilo ahamie kwenye vyumba vya madarasa na upungufu wa vitabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom