Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,326 Reaction score 111,539 Aug 16, 2012 #1 kazi nyingine bhana, hebu angalia mtu mzima sijui anapekua nini humo ndani Au waangalie hawa kazi yao ni kunusa makwapa ili watengeneze Uturi unaweza kukabili harufu kali za ze kwapaz Attachments weird-jobs-01.jpg 24.9 KB · Views: 293 weird-jobs-02.jpg 24 KB · Views: 283
kazi nyingine bhana, hebu angalia mtu mzima sijui anapekua nini humo ndani Au waangalie hawa kazi yao ni kunusa makwapa ili watengeneze Uturi unaweza kukabili harufu kali za ze kwapaz
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Aug 16, 2012 #2 Bora mkono uende kinywani!!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,961 Reaction score 13,937 Aug 16, 2012 #3 eeehh..........
Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Aug 16, 2012 #4 Sasa hao wanaonusa wenzao wakipata flu watamlaumu nani?