Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,831
- 637
Kwani hawa wako kazini? mbona sioni kazi wanayofanya?
Kwani hawa wako kazini? mbona sioni kazi wanayofanya?
faili yao yapo kwenye nyonga
Mafaili ndani ya nyonga? ina maana ni makarani wa mafaili??? sijakuelewa kabisa
![]()
Hebu waone wasivyo hata na haya, mshipa wa aibu ushakatika siku nyingi!
hawana hatari yeyote ikiwa wapo kwa ajili ya hiyo hatari,hao hawapo kazini wapo kibaruani.
HA haaa haaaaaaaaa umenifanya nicheke umebaki mshipa gani??