Kazi Nje Ya Nchi

Oct 4, 2017
26
11
Kampuni ya Competitive Manpower International Limited, inayojishughilisha na ajira za nje ya nchi, inatafuta wafanyakazi wenye uzoefu na sifa zifuatazo kwenda kufanya kazi nchi zifuatazo;

Oman-Wasichana wa kazi za ndani 100Dubai- Mafundi Ujenzi 40, Wafanyakazi wa usafi 100 (Wanaume) na walezi wa watoto (Yaya) 20-wanawake.Qatar na Saudia Arabia- Wafanyakazi madereva wa magari na malori 300, pamoja na vibarua 150.Saudi Arabia- Mafundi AC na Mafundi Fridge 100

Waombaji wote wawe na viambatanisho vifuatavyo;

CV zenye wadhamini wawili au watatuVyeti vya shule ama ujuziAwe na Passport (Wasio na Passport ya kusafiria ofisi itawasaidia kuzipata).Barua ya utambulisho serikali za mitaa

Maombi yaletwe ofisi zetu zilizopo Mwembechai-Magomeni nyuma ya Mwembechai Plaza, karibu na Itumbi hotel gorofa ya pili, ama watume maombi yao kwa njia ya barua pepe;Tanzania@competitivemanpower.com

Kwa mawasiliano zaidi, piga simu number; 0654 360 571 au 0752 56 41 54.

668344ba829a5f62ad5fa5b45e10dd72.jpg
 
ni kweli,ila wengi ni waliokwenda kwa njia za panya! kupitia kampuni yetu utapata kibali cha TaESA kwenda kufanya kazi huko
 
Mmmh hizo nchi ulizotaja kila siku zinalalamikiwa
ni kweli,ila wengi wanaokwenda kwa njia za panya ndio wanaolalamika. Kupitia kampuni yetu,watu wanapata kibali kutoka TaESA na wanapokelewa vizuri na kampuni husika katika nchi tajwa
 
please please please mtoa mada hii make sure hii ni deal clean,maana inauma mno unapoona watanzania wenzako ambao wamerubuniwa na kupelekwa ughaibuni kwa ahadi ya kufanya kazi na hatima yake wanaishia kuwa watumwa au kuwekwa kwenye brothels inauma mno,human trafficking its a big issue ila waziri wangu wa mambo ya ndani na waziri wa wanawake wako so busy na kukimbizana na wapinzani wao wa kisiasa wakti raia wao wanarubuniwa na kuishia kuwa watumwa .please mtoa mada jifikirie kama ni dada yako anapelekwa pale Maputo kwa ahadi ya kazi na anaishia kwenye madanguro,ninategemea hii ni clean deal and above the board.
 
Mkiwa mnapeleka watu marekani au ulaya nitakwenda Ila uarabuni mh
 
We still love our black queens and kings sorry hebu toa maelezo ya uhakika isije kuwa Skin Trade.
 
siku mkitangaza kuwapeleka watu Ulaya na Marekani mnijuze lakini Uarabuni bado sana.
 
please please please mtoa mada hii make sure hii ni deal clean,maana inauma mno unapoona watanzania wenzako ambao wamerubuniwa na kupelekwa ughaibuni kwa ahadi ya kufanya kazi na hatima yake wanaishia kuwa watumwa au kuwekwa kwenye brothels inauma mno,human trafficking its a big issue ila waziri wangu wa mambo ya ndani na waziri wa wanawake wako so busy na kukimbizana na wapinzani wao wa kisiasa wakti raia wao wanarubuniwa na kuishia kuwa watumwa .please mtoa mada jifikirie kama ni dada yako anapelekwa pale Maputo kwa ahadi ya kazi na anaishia kwenye madanguro,ninategemea hii ni clean deal and above the board.
this is genuine deal brother, that's why kabla candidate hajaondoka lazima awe amapata kibali kutoka wakala wa serikali wa ajira (TaESA)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom