mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,100
Tafsiri ni hiiMmmh japo naelewa kwa mbali kingereza. Hapa sijaambulia kitu
Utumwa uko hapa hapa Tanzania .Hasa kwa wafanyakazi wa nyumbani(wakiume na wakike) Mara mbili
Tafsiri ni hiiMmmh japo naelewa kwa mbali kingereza. Hapa sijaambulia kitu
currently wanajaribu kwenda sawa na kasi ya maendeleo,ndio maana wameanza ku-outsource manpower kutoka nchi nyngne,so hawana namna ya kuwabana sana sababu wanakutumia mkataba unausoma kwanza,ukiridhika ndio unaenda,so u'll live your contractNikweli Ila sheria za Saudi Arabia ndio tatizo kamanda

Mkuu hii ni lugha gani?We salve our people Right here in Tanzania.Case in point
"House boys and girls" They are more than slave.Double
Ndo hapo sasa mim mwenyewe nashangaa inamana huko kwao hakuna maskini wa kufanya izo kazi za kulea watoto au wanataka kwenda kututoa kafara watu weusi mimi kama kuna ndugu yangu anaenda sitokubali kabisa waharabu ni mamafia sana.inamaana kweli huko sudan saudi arabia hakuna mafundi mpka wawatafute watanzania inamaana hizo nchi hakuna wakulea watoto mpka waende watanzania .lazima tujiulize kiundani licha ya tatizo la ajira