CMIL OVERSEA JOB
Member
- Oct 4, 2017
- 26
- 11
- Thread starter
- #21
hapana,sio lazimaSi lazima awe muismu ndio akafanye kazi oman
hapana,sio lazimaSi lazima awe muismu ndio akafanye kazi oman
walete documents zao,au watume kwa email iliyopo kwenye tangazoNa kwa waliopo zanzibar je wafanyeje?
same procedure kaka,either ulete or utume kwa email,kwa maelezo zaidi piga sim kwa namba zilizowekwa kwenye tangazoKwa walioko mwanza
before candidate yoyote hajaondoka,anapewa mkataba,anausoma,auelewe,then ndipo atakaporuhusiwa kuusignMm hapa nipo huku sasahiv Omani kwa kifupi wa siku bali kuja huku bila mikataba wali yoisoma kwa macho yao na kujiridhissha kwamba inataa Kwakwell waarabu wana roho mbaya ni hatariiii usiombe na wakija waende ubalozini ili ubalozi ujue
Tanzania ndio salama sana ndio maana tunaona watu waliouliwa wanavuliwa coco beach.Tindu Lissu kapigwa risasa na Nape anatishiwa ma bastola mchana kweupeeeUarabuni sio sehemu salama
We salve our people Right here in Tanzania.Case in pointTwo years a slave?![]()
Mmmh japo naelewa kwa mbali kingereza. Hapa sijaambulia kituWe salve our people Right here in Tanzania.Case in point
"House boys and girls" They are more than slave.Double
Mkuu hongera sana kwa haya matangazo na ubarikiwe sana tu.Kwa wale watakao fanikiwa waturejeshee mrejesho ninawatakia kila la kheri.same procedure kaka,either ulete or utume kwa email,kwa maelezo zaidi piga sim kwa namba zilizowekwa kwenye tangazo
ni yeye,Mr OpioHuyu jamaa mwenye miwani na T-Shirt ni kama Morgan, alikuwa anafanya kazi Royal Palm kipindi kile, kabla ya yule mgiriki kuiuza hoteli na kwenda zake uarabuni.
Kama ni yeye na yupo happy, good for him, au labda wamefanana.

tupo pamoja MkuuMkuu hongera sana kwa haya matangazo na ubarikiwe sana tu.Kwa wale watakao fanikiwa waturejeshee mrejesho ninawatakia kila la kheri.

It's just your mentality brother,popote ni pazuri ukitengenezewa mazingira,thats y mpaka leo bado watu wanaishi Nagasaki na HiroshimaBora Omani na Emirate (Dubei) Ila Saudi Arabia mmmhhh !!
