Kazi niendayo kufanya usiku huu...

Kuna zingine Zinatakiwa usiku
Mfano Hotelin Upande wa jikoni,au vyumbani, kwenye malls, supermarkets,mabasi,so inapigwa usiku ili asbh kazi ziendelee km kawa
Naongelea huyo mwenye mask na gloves. Kama usafi wa barabara sijawahi ona mtu anavaa vile kama siyo kwenye kupuliza dawa au kujikinga na sumu hewani.
 
Jana alikuwa anajaribu kunipigia lakini hakukuwa na mtandao mzuri hapo alipo. Mpe pole mtoto wetu mwambie yupo kwenye mikono mizuri. Du unajua ni aina gani ya nyoka?
Nyoka mweusi dada.. Anaendelea vema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…