Edward A Chapa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 956
- 1,373
Fumigation hiyo!
Usiku?Fumigation hiyo!
Kuna zingine Zinatakiwa usikuUsiku?
Naongelea huyo mwenye mask na gloves. Kama usafi wa barabara sijawahi ona mtu anavaa vile kama siyo kwenye kupuliza dawa au kujikinga na sumu hewani.Kuna zingine Zinatakiwa usiku
Mfano Hotelin Upande wa jikoni,au vyumbani, kwenye malls, supermarkets,mabasi,so inapigwa usiku ili asbh kazi ziendelee km kawa
Jana alikuwa anajaribu kunipigia lakini hakukuwa na mtandao mzuri hapo alipo. Mpe pole mtoto wetu mwambie yupo kwenye mikono mizuri. Du unajua ni aina gani ya nyoka?Shikamoo dada naamini umeamka vema... Tayukwa aliumwa na nyoka juzi usiku pale kwenye mishe yetu... Alilazwa na anaendelea vemaView attachment 1228187View attachment 1228188View attachment 1228189
dada mwenye wizara kasema hakuna ebola Tz,angekuepo Dr Mwele kwenye ile nafasi yake angetuambia ukweli.Hao maiti wa Ebola ushawazika mzee?!