Kazi ni kazi tu

Kazi ni kazi tu

Hembu weka wazi hapa Mshahara unalipwa kiasi gani?
Hii ndio naimani wengi wanaweza kutoa maoni yao kwa ufasaha zaidi
Maana usiwe unakula pesa nzuri then kazi unaona nyingi
 
Habarini za asubuhi wanw jf.
kwakweli kuna kipindi nilikuwa nahitaji sana kupata kibarua lakini kwa sasa nahamu hata niache kazi kutokana na majukumu kuwa mengi kwanza kazi haina cha weekend wala public holiday"s saizi tu huwezi kuamini pamoja na x mass hii tayari nimeanza kazi na kinachoiudhi sana ni kwamba hakuna kitu kinaitwa over time hapa sasa sijielewi niache hii kazi nikazunguke na bahasha mtaani naombeni mawazo yenu juu ya hili natanguliza shukrani.MARRY X-MASS!!!!!!!!!

Acha kazi uone kazi kupata kazi.
 
Back
Top Bottom