Kazi na dawa

Kazi na dawa

mwija

Senior Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
117
Reaction score
35
Kazi kazi
 

Attachments

  • IMG-20170924-WA0004.jpg
    IMG-20170924-WA0004.jpg
    13.1 KB · Views: 301
Hivi vitabu vya dini wanavyo tufundishia sivinakataza yani hapa ndio dini unaona usanii.
 
Mi nadhani wakapimwe mkojo tu hamna namna nyingine. Eti ndio wa kuwaamini hawa na kuwaachia watoto wafundishwe nao, ni hatari sana.

Hii dini sio kabisa kila mkiambiwa hamuelewi oneni sasa hayo mambo. Mtaamka lini kutoka usingizini Jamani.

Mapadre nao wanafungisha ndoa za mashoga kwa kweli hii dini hii. Mmh.

Hatarious.
 
Acheni unafiki wenu hapa. Yohana na wafuasi wake walikuwa wanafunga waliambiwa wachoyo mwana adamu alikuwa anajua na kunywa Wakamwambi ni mlafi. Kumbe ubishani huu umeanza toka zama hizo. Leo watu wanakulana Kwa nyuma kwakuwa ni Siri wanaona si dhambi ila mtu akinywa bia mbili akalala ni dhambi Acheni unafiki watz. Anaglieni mioyo yenu si ya wengine unafiki chuki ungo ni dhambi mbaya zaidi kuliko chocht duniani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom