Kazi na dawa libya

Fahari MJ

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
422
129
photo_1318261350788-3-0.jpg

[h=2]This photo of a National Transitional Council (NTC) fighter playing a guitar in the middle of a battle while Libya's new regime forces were fighting block by block towards the centre of Sirte on Monday, became a Web sensation.

source : The week in photos 14/10/2011 Photos | The week in photos 14/10/2011 Pictures - Yahoo!

[/h]
 
dah! kabla sijafungua nilijua tu nii picha kwa kuwa nilishaiona sehem nikajua ni photoshop. huu kweli ubunifu wa kivita
 
bangazi si mchezo.kuna wengine mwingine mlevu anapigana na kiti huku akiwa anaendesha baiskeli ya walemavu.yupo frontline sirte.sipati picha awakifurumushwa atasepaje.
 
Hii picha ya kutengeneza ni ulongo mtupu hebu angalieni aliechuchumaa anapiga mgongo wa mwenzake ama?!! Mbwa wa Nato ndio kazi yao kuzusha
 
Hii picha ya kutengeneza ni ulongo mtupu hebu angalieni aliechuchumaa anapiga mgongo wa mwenzake ama?!! Mbwa wa Nato ndio kazi yao kuzusha
Hata mimi naiona imekaa kipropaganda zaidi kuliko uhalisia, hebu wacheki hao jamaa askari ni kama wapo single line wakati kama mkitaka kushambulia ni lazima mkae V au Extended line. Hao walita kuonyesha mataifa kuwa vita hiyo ni nyepesi na kuwajenga watu kisaikolojia kuw haikuwa na madhara makubwa ikiwemo vifo na majeruhi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom