Nahitaji mtaalam wa mambo ya umeme ambaye anaweza kunibadilishia mashine washers na Driers na zile za kutotolea vifaranga vya kuku ambazo nimezinunua Marekani. Zote zinatumia umeme wa 110V lakini zinahitaji 3Phase, na power ya up to 3500W.
Nahitaji mtaalam aje ashughulike nazo ili ziweze kuingiza na kufanya kazi kwa umeme wa 220V-240V. Wataalamu wa TANESCO chukueni tenda hii.
Nahitaji mtaalam aje ashughulike nazo ili ziweze kuingiza na kufanya kazi kwa umeme wa 220V-240V. Wataalamu wa TANESCO chukueni tenda hii.