Mimi nahitaji ila naomba kufaham nini nitakitafutia wateja toka kwenye kampuni hiyo.
sasa hapo kwenye red na ulichoandika kwenye blue si umeshawatafunia wale wote watakao kuja....mkuu unatakiwa usiwe unatafuta kutafuniwa kila kitu jaribu kuwa mdadisi,fanya uchunguzi wako mwenyewe kabla ya kuuliza swali ili anaekutazamia akuone kiasi gani unaweza kuwa mbunifu au unaweza kuwa sharp, niliacha hiyo sehemu kama changamoto ya kwanza kwa waombaji ntakujibu kwa pm lakini hadi hapo tayari umeshafeli.
Kwanza wewe ni member ulitakiwa kunitumia pm kwa muendelezo wa chochote unachohitaji lakini umetumia public,pili unatakiwa uwe mbunifu ili kuongeza credit kwenye maombi yako lakini umeonyesha ni kiasi gani eidha unaweza kukurupuka au unaishia kufikiri kwa haraka,tatu unatakiwa ufuate maelelekezo kwa makini ili maombi yako yawe valid.
Nimekwambia kwa kukurekebisha ili muone baadhi ya makosa mnayoyafanya pindi mnapoomba au kutuma maombi ya kazi.
sasa hapo kwenye red na ulichoandika kwenye blue si umeshawatafunia wale wote watakao kuja....
Mkuu unatakiwa usiwe unatafuta kutafuniwa kila kitu jaribu kuwa mdadisi,fanya uchunguzi wako mwenyewe kabla ya kuuliza swali ili anaekutazamia akuone kiasi gani unaweza kuwa mbunifu au unaweza kuwa sharp, niliacha hiyo sehemu kama changamoto ya kwanza kwa waombaji ntakujibu kwa pm lakini hadi hapo tayari umeshafeli.
Kwanza wewe ni member ulitakiwa kunitumia pm kwa muendelezo wa chochote unachohitaji lakini umetumia public,pili unatakiwa uwe mbunifu ili kuongeza credit kwenye maombi yako lakini umeonyesha ni kiasi gani eidha unaweza kukurupuka au unaishia kufikiri kwa haraka,tatu unatakiwa ufuate maelelekezo kwa makini ili maombi yako yawe valid.
Nimekwambia kwa kukurekebisha ili muone baadhi ya makosa mnayoyafanya pindi mnapoomba au kutuma maombi ya kazi.
Wengine hatujaumbwa kuwapa watu kazi bali tumeumbwa kuwatetea wanyonge kutoka kwa matapeli uchwara.
Swali.je huo sio mchango ktk jamii?
Muhimu:jielewe kwanza kabla hujaelewesha wengine.
Siwezi kuwajibu mmoja mmoja sababu sijaona cha maana na pia nafikiri asilimia kubwa ya mnaojaribi kujenga hoja za kupinga mko katika kundi la wanaoomba kazi(wafanyakazi) ila kama ukiwa unaetoa kazi ungenielewa na kukaa kimya, siwezi kufanyia hasira wakati ajira ninatoa mwenyewe nimerekebisha ili mtumie akili na muelewe mnapokosea kipindi mnatuma cv na pia ni kitu gani anachotazamia mtoa kazi.
NB: Mimi nimetoa nafasi kwa kuajiri wenzangu wewe umetoa nini? changamoto usiwe mstari wa mbele kuongea wakati huna ulichokifanya
kaujiri au ndio unataka kuajiri? wewe una matatizo hata watu watakaofanya kazi kwako watakukimbia hayo mambo ya ajila ni professional za watu sio unaingiza ma-hasira yako as if watu wanashida sana na ww ndio umeshushwa kuja kuwakomboa. Tangazo lako limekaa kibabe sana na hiyo ina reflect akili yako ilivyo.
Watu hawana shida kihivyo it sound like utapeli hivi. Kuweni makini na watu kama hawa ambao wanapenda sana kutumia tatizo la watu kama mtaji
All good things in the World are not things