Tasbeeh313
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 1,915
- 2,046
Habari za majukumu, na mwaka mpya wakuu, kama kichwa kinavyojieleza, nimepata email si chini ya 8 kwa vipindi tofauti zikinitaka nitume CV zangu nikafanye kazi kwenye hiyo hotel tajwa.
Email yao ya mwisho nikaamua niwajibu nikawatumia CV, Leo wamesema niwatumie passport ili wafanye mpango wa visa na mambo mengine.
Swali kama kuna mdau ameshawahi kupata text kama hii au hawa ni matapeli au vipi nahitaji msaasa wetu.
text hii