Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 34,403
- 68,970
Watu hua tunachagua sana kazi, kazi zingine tunaziona hazina hadhi hivyo wengi hua hatuzifanyi. Wale tuliowahi kuzifanya kitu kikuu tulichogundua ni kua anayefanya hizi kazi ana uhakika wa kugegeda kuliko karani wa Ubalozini.
N.B.Zingine nilifanya, zingine nilishuhudia, lakini ili kuepuka ulazima wa kuverify account kuna details nitakua sizitoi.
Kuendesha Bajaji/ Bodaboda
Kati ya vijana wenye wanawake wazuri madereva wa bodaboda na bajaji pengine na wanamuziki wakubwa wanaongoza.
Wasichana wa vyuo na masista du wote kuguswa na jua la Magu hawawezi, halafu kumiliki usafiri hawezi hapo ndiyo dereva bajaji na bodaboda wanapong'oa kisu kikali usichoweza kudhania.
Watoto wa Sekondari, o levo na A levo na wake za watu wanaangushwa sana na waendesha bodaboda na bajaji.
Ulinzi
Ulinzi wa hapa siyo wa KK au Knight Support, huu ni ulinzi wa wale mabaunsa.
Kuna mwaka nilikua Diamond Jubilee akaja binti kalewa akaniambia nimsindikize chooni anaogopa kuanguka, tulivyoingia hata hajaingia kwenye latrine akafanya yake palepale.
Nikakutana naye Posta, akanikumbusha hili tukio tukabadilishana namba (naishia hapa).
Maeneo wanayopiga Njenje, haya makundi ya taarab kote huko walinzi wanakula sana watu. Tena pale Njenje ni mwendo wa mtandao pendwa.
Kuburn CD, Kukodisha Muvi, Kuingiza Nyimbo Kwenye Memory Card
Mara nyingi anayefanya hizi kazi hua anajua kidogo kuhusu ufundi simu upande wa software, na kwa kawaida hufanyika uswazi, watazama muvi wengi ni wanawake. Akihakikishiwa tu kua kila muvi na wimbo anaotaka ataupata na simu yake ikifanya manjegeka kidogo tu anaileta kwako unamuwekea sawa, huyu mdada anaanguka soon.
Halafu pia nahisi kuna mabinti wanapenda tu kua na wakodisha muvi. Hapa pia wanafunzi huanguka pia.
Uganga
Kipindi nimemaliza shule nilikua nashinda jamaa fulani hivi kwa hii mitaa yetu, alikua anaheshimika kwa sababu alikua mganga na aliogopwa kwa sababu alikua mgomvi halafu ugomvi ukinoga anapandisha mashetani unakua haupigani naye yeye.
Incident ninayoikumbuka siku hiyo aliniambia nimsindikize Coco beach alfajiri kuna mteja anataka dawa, kufika jamaa akavaa kaniki, mdada akabaki na khanga akaenda naye kwenye mapango, mimi nikawa nimebaki kwenye gari.
Nikaamua kwenda kuogelea, narudi kieneo chetu nakuta jamaa kakamatwa na askari kakutwa anamegana.
Halafu akajitetea kua hiyo ni miongoni mwa dawa na ilitakiwa ifanyike pale. Mwisho akawapa jamaa 10,000 tukaondoka.
Tukionana hua tunataniana "Eh bwana umelipia kumega nje kwa 10,000 wakati gesti Upendo 4000"
Halafu kumbuka wale waganga wanaotolewa magazetini wamekutwa na chvpi za watu, au wanatembea na wake za watu.