Kazi kwenye kwapa

Kazi kwenye kwapa

mjambaji

Senior Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
174
Reaction score
98
Nimekaa na kutafakari sana. Hii tabia ya watu walio na "digrii" kupenda kuchagua kazi za kufanya sio nzuri kabisa, kwa sababu nimegundua kuwa "thermometer" ina digrii nyingi tu lakini bado inafanya kazi kwenye kwapa.
 
Ingekuwa pedi ungesemaje? Au toilet paper kwa mfano...!
 
"Hata thermometer ina degree nyingi lakini inafanya kazi kwapani"
 
Back
Top Bottom