Kazi kweli ipo kumlea mtoto wa kizungu

Ooyooo hii inaonisha mama kadai talaka na mtoto huyu ni kumbwagea baba hapo sasa ni kazi kubwa na kesi zao ni mahakamani na kudai fidia mwana dada
 
Hizo ni complication tu. Mtoto wa kizungu anaweza akalelewa maisha ya kiswahilini ya kuvishwa nepi, chupi za mkojo, kulishwa viporo, n.k na akakua vizuri tu
Ila ni sawa..In every action there is an equal and opposite reaction..Newton's 3rd law of motion
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…