Hi Kazi ipo DSM .. Dakika tano kutoka moroko - airtell
Ni mgahawa mdogo unapika vyakula vya kigeni.
- wateja wetu ni wazungu, wachina na wahindi.
-tips za kumwaga.
-kazi ni kutengeneza coffee (ceremony ), na kazi zingine za kiweiter.
- Mshahara ni fixed 120,000/=
Muda wa kazi ni kuanzia sa kumi na nusu jioni hadi sa nne na nusu usiku.
Jumapili OFF.
Namba yang....
Piga tu kama una uhakika na huishi mbali tusipotezeane muda .
Umri 18-28. Years of age..
Experience sio lazima ila utapata training..
Wenye ndugu wapeni ndugu zenu hii kazi wapeni namba wanipigie ukicelewa wenzako wataipata.
UPDATEs:
Ishapata mtu.. Asante i kwa wote mliokuja kwenye interview