Kazi Kiwanda Cha Saruji Dangote

Kazi Kiwanda Cha Saruji Dangote

nasi

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
47
Reaction score
20
Wadau nimeona kichwa cha habari juu ya gazeti la Jambo leo la leo,nafasi za kazi kiwanda cha dangote ukurasa wa kumi na saba(17), Mwenye gazeti hilo au anayeweza kulipata atuwekee wamesema nini huo ukurasa wa kumi na saba ili nasi tupate habari

Kila la kheri
 
Nawe c umeliona sasa mbona usiliweke hapa ebo???
 
tangazo la kitapeli hilo, limefika mpaka whatsapp, domain ya e-mail ni yahoo.com

watawapata walewale
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa busara mwenye nalo angepost watu wafanye maamuzi kama la kitapeli ama la tutachanganya na zetu.
 
Wadau nimeona kichwa cha habari juu ya gazeti la Jambo leo la leo,nafasi za kazi kiwanda cha dangote ukurasa wa kumi na saba(17), Mwenye gazeti hilo au anayeweza kulipata atuwekee wamesema nini huo ukurasa wa kumi na saba ili nasi tupate habari

Kila la kheri

Nafasi zenyewe ziko wapi?
 
Nafasi zenyewe ziko wapi?

Kwenye Jambo leo wametoa kweli page 17 zipo za taaluma mbali mbali tu!
siwez kuziweka hapa ila ni nyingi.
Nakumbuka sales and marketing officers
email yao waliotoa pale ni:
recruittanzania@dangoteprojects.com
Na huyo jamaa alitoa taarifa humu amewaambia toka mchana na gazeti nimenunua 500 tu sasa nashangaa hamjaamua kununua.
Ila magazeti ya udaku mnanunua fasta
 
Back
Top Bottom