pdozen_nation
Member
- Nov 12, 2015
- 52
- 122
Wakuu leo nimepita Tabata pale nimeona watu wapo nje kwenye kiwanda cha NIDA pale TOT kama veepe embu fatilieni mnaweza mkapata kazi [emoji1545]
Taratibu zake zipojendo mda wao wa kutoka ama kuingia viwandani. hamna anayesubiri kufanyiwa usaili pale, wote vibarua na wanajulikana.
kama mtu atahitaji kazi lazma afate process.