Kazi. Kijana msomi huyu hapa

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,636
3,660
Elimu: Degree ya Regional Development Planning.

Ufaulu: Upper Second. Na matokeo mazuri kabisa Secondary na shule ya msingi.

Umri: 27 years old.

Jinsia: Mwanaume.

Makazi: Dar es salaam

Uzoefu: Uzoefu wa miaka mitatu katika kazi mbali mbali.

Kazi inayohitajika: Kazi ya aina yoyote ile ilimradi ni halali, au pertnership (ushirikiano) katika kuendeleza kazi / kampuni ambayo tayari ilishaanzishwa.

Kwa yeyote mwenye msaada naomba tuwasiliane. Vigezo na masharti yote utakayotoa yatafatwa pasipo na shaka.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom