Utaonaje vidhuli nawe unaangalia chini? Panua macho basi.thion vidhuri mbona
Utaonaje vidhuli nawe unaangalia chini? Panua macho basi.
thion vidhuri mbona
sijaelewa!!AUNTVIRUS??? Au yule anaye overtake?
Mi nimeona shost lakini sijaelewa huo ujumbe!!Yaani mimi49 na Heaven on earth hayo macho hayaoni eeeh au mwayapakia wanja tu...hilo gari la green limeandikwa aunt virus
Mi nimeona shost lakini sijaelewa!!
Ahaaaa that makes a lot of sense!!nyie wote mmeshindwa kung'amua maana yake ni kwamba madereva wa mafuso wanakufa sana ukimwi sasa yy gari yake kaiandika anti virus...............
Yaani mimi49 na Heaven on earth hayo macho hayaoni eeeh au mwayapakia wanja tu...hilo gari la green limeandikwa aunt virus
mwandishi kakosea,kaandika aunt virus badala ya ant virussijaelewa!!AUNTVIRUS???Au yule anaye overtake?
Sio kinywa tu mkuu, hata miguu inapanuliwa, japo gizani ndo kwa sana.macho nayo huwa yanapanuliwa ..nilijua ni kinywa tu