Tembea uone kuna makanisa ni shida kama Hilo la BukobaView attachment 1176339
Mkuu hili kanisa nilisha tembea kutafuta mlango wa mbele nikapotea mtaa hapo nyuma kuna kama kichochoro fulani kuna wamachinga wanauza pale
Ngachoka mimi ni mzee wa shortcut siku bahatika kuingia humo ndani
Kwamba mbele hukupaona
Le Cathedral one of the biggest religious entity in east and central Africa.Proud to be one among the member
Huu msikiti upo mkoa gani ?