Kazi ipo hapo jamani........................ ...

Kazi ipo hapo jamani........................ ...

ngoja nimwite mtaalamu wa kugundua picha hii Bujibuji njoo unieleweshe au uniambie picha hii inahusu nini maana sijaelewa
1240560_165939136943296_338265373_n.jpg



HAPATOSHI WANAWAKE WANAKWENDA KENYA WANAUME WANAKWENDA KISAMAAYO......................
 
Last edited by a moderator:
Mh.Mangatar Mpendwa za asubuhi? Mkuu hapa tunatafakari picha hii, na kuichambua ilivyo yaani Makundi yote yamebeba SILAHA nzito !! na nia zao ni kuvamiana au kupambana yaani VITA (battle/war) au siyo mkuu ? samahani mimi sii mwana siasa wala mwana harakati mie Raia mwema kama wengine tu, Nina huzunika na kusikitishwa kwa yaliyotokea na KuLaani vitendo vya kinyama popote pale (very Sad).... Sasa Mzee wangu picha inajieleza kwa uwazi na ufasaha kuwa watakapo
vamia lugha itakuwa ni ya silaha na mauaji...! Hivyo waswahili husema " VITA HAVINA MACHO " (fahari wawili wakigombana nyasi huumia) hivyo chochote kinaweza tokea.!! Mungu apishe mbali yasitukute au yasiwakute wenzetu.Amin/AMEN
Stay in peace.

Mpendwa Afro-Arabica,
Mimi ni mtu mmoja mwoga vita kuliko chochote, huwa nawaambia watu kuwa, sikia vita tu. Hulooo lakini usiombe ikukute. Hapa ninasema, hao magaidi au wapiganaji kwa nini wao wameamua kwenda kinyume na vita? Just imagine, ndani mle mlikuwa na watoto wadogo kabisa, kwetu wanawaita Malaika, Wamewaua, wamama waja wazito, hujui angezaliwa nani, umemuua; huyu alikukosea nini? Kama ni mtu wa kuwenda vitani yupo kwenye hayo makambi ya KDF siyo kwenye shoping mall, unaogopa kwenda kulipua hayo maghala ya risasi ili washindwe kwenda vitani. Huo ni woga na sitautakatisha kwa vyovyote. Angelipua huko mimi nasema huyo ni shujaa si shopping mall.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom