Kazi ipo hapo jamani........................ ...

Kazi ipo hapo jamani........................ ...

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1240560_165939136943296_338265373_n.jpg

HAPATOSHI WANAWAKE WANAKWENDA KENYA WANAUME WANAKWENDA KISAMAAYO......................
 
...sijapata logic...
Nilivyoelewa ni kwamba jeshi la kenya linaenda somalia na magaidi wanatokea Somalia kuingia Kenya,magaidi wamefananishwa na wanawake kwa sababu aliepanga shambulio la Kenya ni mwanamke.hii ni lugha ya Picha tuu haina maana kuwa magaidi wote ni wanawake.
 
mama timmy,
usiogope. Hao magaidi ni wa.na.wa.ke tuuuu. Kama wangekuwa wanaume wa kweli wangeenda kwenye vituo vya KDF. Mbona wanaenda kuua watu waliosachiwa getini, kama ukionekana na kisu cha kulia embe to unanyang'anywa? Mtu hana silaha yeyote unamwendea kumuua kwa gruneti! Ptuuuuuu. Nimewatemea haya mate. Waoga, wadhaifu tena sijui niwaite nini.
Mchora katuni kamaliza maelezo yote.
 
Mama yanguWee Mkuu wewe basiii !!.. tena hapo umenikumbusha hao WanaVisasi walianzaga na ugonvi na wizi wang'ombe leo wanavamiana !!
 
logic ni kwamba majesh ya Kenya yakipiga kwata kuelekea Kismayu huko Somali land, majesh ya Somalia yanapiga kwata kuelekea Kenya

...loh..! asante gfsonwin, mwanzo niliangalia kutumia kasimu kangu ka mchina so hao alshabab nilidhani ni kundi la womens wanaandamana ikanipotezea focus kabisa,loh mchina mbaya sana kama balozi wao...!
 
Nilivyoelewa ni kwamba jeshi la kenya linaenda somalia na magaidi wanatokea Somalia kuingia Kenya,magaidi wamefananishwa na wanawake kwa sababu aliepanga shambulio la Kenya ni mwanamke.hii ni lugha ya Picha tuu haina maana kuwa magaidi wote ni wanawake.
...thanks now i m on my big screen naisoma vizuri...
 
mama timmy,
usiogope. Hao magaidi ni wa.na.wa.ke tuuuu. Kama wangekuwa wanaume wa kweli wangeenda kwenye vituo vya KDF. Mbona wanaenda kuua watu waliosachiwa getini, kama ukionekana na kisu cha kulia embe to unanyang'anywa? Mtu hana silaha yeyote unamwendea kumuua kwa gruneti! Ptuuuuuu. Nimewatemea haya mate. Waoga, wadhaifu tena sijui niwaite nini.
Mchora katuni kamaliza maelezo yote.

Mh.Mangatar Mpendwa za asubuhi? Mkuu hapa tunatafakari picha hii, na kuichambua ilivyo yaani Makundi yote yamebeba SILAHA nzito !! na nia zao ni kuvamiana au kupambana yaani VITA (battle/war) au siyo mkuu ? samahani mimi sii mwana siasa wala mwana harakati mie Raia mwema kama wengine tu, Nina huzunika na kusikitishwa kwa yaliyotokea na KuLaani vitendo vya kinyama popote pale (very Sad).... Sasa Mzee wangu picha inajieleza kwa uwazi na ufasaha kuwa watakapo
vamia lugha itakuwa ni ya silaha na mauaji...! Hivyo waswahili husema " VITA HAVINA MACHO " (fahari wawili wakigombana nyasi huumia) hivyo chochote kinaweza tokea.!! Mungu apishe mbali yasitukute au yasiwakute wenzetu.Amin/AMEN
Stay in peace.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom