Kazi inayofaa PM Mizengo Pinda

Kazi inayofaa PM Mizengo Pinda

suleym

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,961
Reaction score
1,211
hakika inaonekana PM wetu siasa kama aliingia kwa bahati mbaya in short inaonekana haikuwa fani yake, inaonekana kuna kazi ambayo ni yake kaikwepa, unadhani kazi gani ingemfaa mheshimkiwa huyu na angeitendea haki km angeifanya!!!?
 
Huyu ni mtoto wa mkulima angesaidiana na mzee wake kilimo, kazi hiyo ingemfaa sana.
 
Mganga wa kienyeji.
hebu mvishe lile likaniki leusi na nyekundu halafu umdeku usisahau kumwekea tunguli zake pembeni.
 
Kwahiyo wa kulaumiwa nani hapo? Aliyemteua au aleyemshauri agombee ubunge?
 
Uonezi mtupuuu.Si bahati mbaya kuwa katika nafasi aliyonayo.Hakuokotwa barabarani...
 
1. Angekuwa mliaji misibani kwa kukodi angefaa sana.


2. Angekuwa mbashiri wa mambo 'mdhaniaji' angependeza pia.
 
Back
Top Bottom