Kazeni buti wabongo huko wakenya na zimbabwe pia wa south wamejaa wanafanya kazi hata waganda niwengi tu lakini sisi wabongo tunapenda life kinoma kufa kupotu hata kwenye 6kw6 utaondoka tu bora ukajaribu mimi nilienda tena wakati ule kumechanganya kinoma07 mpa09 mbona hamjiamini Iraq yaleo mbona shwari tu mkuu kajaribu kama umepata mchongo usione kunlipuka ni mitaani lakini kwenye ulaji wa kina Big fishi hakuna hiyo kitu mimi nime piga mwka tatu lakini nilikua naona kwenye TV tu hiyo milpuko yao ila ukisikia Baghdad unogopa hakunakitu mazee na kwa taarifa yako nimetoka tena huko mwezi ulopita wafrika kibao wazimbabwe wengi ilikua nashangaa kujiona mbongo nipo pekeangu