Kazi hizi hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kazi hizi hapa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KakaKiiza, Nov 10, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Afghanstan??
  mimi hapana, bora nibaki jobless.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Ahaaaaaaa!!siunataka kazi??Ndibalema??
   
 4. B

  BARRY JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  ahsante mkuu, nitajaribu
   
 5. n

  nkosiyamakosini Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  AaaH wapi wewe! nani akakutane na mtoto wa abu musab al zaqawi? thanks
   
 6. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  ndiba, it is better to die trying being rich. ngoja nizichungulie. Ukisurvive huko mwaka na ukarudi mzima. makusanyo yake ni sawa na mishahara ya miaka 30 ya bongo.
   
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Mnaofanikiwa msinisahaukwa ndovu bariiidiiii!nanyie mnaotafuta kazi nimewawekea link ingia ujalibu ila mimi nitakuwa na update daily kadri ninavyopata!!
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kulikuwa na post ya sales manager Iraq kwa kampuni ya FMG jamaa akaaply bwana akijipa moyo THE HIGHER THE RISK THE HIGHER THE RETURN
   
 9. M

  Meck Member

  #9
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka endelea kutuhabarisha ukipata zingine
   
 10. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Hivi daa Preta na Rose wameiona hii?
  nimeipenda

  You can loose a lot of money while chasing women, but you never loose women when chasing money!
   
 11. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kazeni buti wabongo huko wakenya na zimbabwe pia wa south wamejaa wanafanya kazi hata waganda niwengi tu lakini sisi wabongo tunapenda life kinoma kufa kupotu hata kwenye 6kw6 utaondoka tu bora ukajaribu mimi nilienda tena wakati ule kumechanganya kinoma07 mpa09 mbona hamjiamini Iraq yaleo mbona shwari tu mkuu kajaribu kama umepata mchongo usione kunlipuka ni mitaani lakini kwenye ulaji wa kina Big fishi hakuna hiyo kitu mimi nime piga mwka tatu lakini nilikua naona kwenye TV tu hiyo milpuko yao ila ukisikia Baghdad unogopa hakunakitu mazee na kwa taarifa yako nimetoka tena huko mwezi ulopita wafrika kibao wazimbabwe wengi ilikua nashangaa kujiona mbongo nipo pekeangu
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,237
  Trophy Points: 280
  Mimi kwakuwa nazipata nitaendelea kuwa uptodate a new vacancy na ninamuomba inivisble as ifute hii thread ndo nitakuwa naitumia
   
 13. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,197
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu nitaftie ya Iran, naskia cost of living ni ndogo kinoma,
   
 14. Valid_Options

  Valid_Options Member

  #14
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ndibalema acha ulelemama kazi ni kazi mtoto wa kiume lazima ukomae mkuu
   
 15. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2010
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Support kwani shughuli ya huko nahisi ni kama Somalia! Siku zote kwa mwoga huenda kicheko Ndiba.
   
 16. Petiro

  Petiro JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  worry not, they are a lot of people from our side are working there without a problem
   
 17. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
Loading...