Kazi hizi hapa

Afghanstan??
mimi hapana, bora nibaki jobless.

ndiba, it is better to die trying being rich. ngoja nizichungulie. Ukisurvive huko mwaka na ukarudi mzima. makusanyo yake ni sawa na mishahara ya miaka 30 ya bongo.
 
Mnaofanikiwa msinisahaukwa ndovu bariiidiiii!nanyie mnaotafuta kazi nimewawekea link ingia ujalibu ila mimi nitakuwa na update daily kadri ninavyopata!!
 
Kulikuwa na post ya sales manager Iraq kwa kampuni ya FMG jamaa akaaply bwana akijipa moyo THE HIGHER THE RISK THE HIGHER THE RETURN
 
ndiba, it is better to die trying being rich. ngoja nizichungulie. Ukisurvive huko mwaka na ukarudi mzima. makusanyo yake ni sawa na mishahara ya miaka 30 ya bongo.


Hivi daa Preta na Rose wameiona hii?
nimeipenda

You can loose a lot of money while chasing women, but you never loose women when chasing money!
 
Kazeni buti wabongo huko wakenya na zimbabwe pia wa south wamejaa wanafanya kazi hata waganda niwengi tu lakini sisi wabongo tunapenda life kinoma kufa kupotu hata kwenye 6kw6 utaondoka tu bora ukajaribu mimi nilienda tena wakati ule kumechanganya kinoma07 mpa09 mbona hamjiamini Iraq yaleo mbona shwari tu mkuu kajaribu kama umepata mchongo usione kunlipuka ni mitaani lakini kwenye ulaji wa kina Big fishi hakuna hiyo kitu mimi nime piga mwka tatu lakini nilikua naona kwenye TV tu hiyo milpuko yao ila ukisikia Baghdad unogopa hakunakitu mazee na kwa taarifa yako nimetoka tena huko mwezi ulopita wafrika kibao wazimbabwe wengi ilikua nashangaa kujiona mbongo nipo pekeangu
 
Mimi kwakuwa nazipata nitaendelea kuwa uptodate a new vacancy na ninamuomba inivisble as ifute hii thread ndo nitakuwa naitumia
 
worry not, they are a lot of people from our side are working there without a problem
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom