Kaz za kimya kimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaz za kimya kimya

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MUREFU, Feb 3, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  WanaJF maambooz kusema ukwel ninaamin msemo unaosema USICHEZEE KAZI CHEZEA MSHAHARA kwan ninakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa upatikanaj wa ajira ilikuwa unakulilia au unafuatwa cku unayo graduate ila kwa sasa mmmh!?

  Ajira za siku hizi zimekuwa ni kujuana na kusikirizia kwa waliokuwa maofisin mfano AJIRA IKITANGAZWA KWENYE MAGAZETI AU WEBSITE UJUE IMESHACHUKULIWA.

  Hivyo kwa hv sasa wanasema kama haumjui m2 hupati kaz kwan asilimia kubwa wanachukuana mfano POST znazotanganzwa wizarani huwa ni za KIMYA KIMYA na wanatangaza post mbili na wakat wanaitaji watu kumi na mbili je hawa magraduate waende wapi je haya ni maisha kwel?
   
 2. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,090
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Usibank sana katika kujuana. Nafasi za kazi huwa zipo wazi kwa mwombaji. Cases za kujuana ni nadra. Hata kama kuna mtu au tuite kwa kiswahili rahisi 'mbeleko' make sure ukibebwa na mbeleko usitoe miguu. Hope utakuwa umenielewa
   
 3. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  sawa lakn nan wa kunibeba wakat mm ni mtoto wa mkulima
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,914
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  serikalini na vikampuni uchwara mambo hayo kwa sana tu, the rest wanajitahidi kuwa fair
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,125
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Ulichosema ni kweli kabisa,ukiacha benki,kwa sasa kazi zinauzwa. Kinachokuja kuiua Tanzania ktk ajira ni RECRUITMENT AGENCIES. Kazi zote zinafichwa huko na kudokoa moja moja kwa bei wanayoitaka wao. Mkuu hapa graduates tegemea kuumia. Juzi nlipigiwa cm mtu wa Tra anadai kuna kazi ila kupoza Boss ni 2mil,nlipowaeleza rafiki zangu wanasema eti ndo fasheni. Kuna rafiki yangu aliitwa akaambiwa kuwa shortlisted laki,sawa mshahara mkubwa ila je usiposhinda interview? Nakuakikishia kama una ela kazi unapata,unaweza kusign mkataba hata usiku sa2 wenye tarehe ya siku inayofuata. Siku hizi graduates wanaiita 'Initial Investment'. Kumbuka walio makazini hawataki kusikia maneno aya ila ukweli utabaki kuwa ukweli! Ivi una habari kuna wanafunzi wamehitimu Nov.ila kwa kuwa na Initial capital sasa ni wakurungezi,hapa sitaji majina,wala tusiseme cha GPA,experience,wala akili,mimi nawajua mwanzo mwisho na nimeishi nao ila kwa kuwa na chochote wako na nyadhifa kubwa ambazo najua kama zngetangazwa wangeandika 'experience 15yrs anda above' ila mbele ya ela wako mbali. Yan wawili wao wamepewa hadi nyumba,gari na salary gross over 3mil. Huu ni ufisadi na ubaguzi ambao matajiri wanauita bahati ya mtu,ila wanyonge wanauita upendeleo! Ila alienacho ataongezewa,waliobaki mdogo mdogo tutafika.
   
 6. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  if you have not created any job yet,

  then

  do not blame your government why is the unemployment rate very high
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,914
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  Katika pita pita zake mdogo wangu aliwahi kuambiwa kilo 5 ukiitwa ktk usili kisha kilo 5 baada ya kuitwa kazini.
  yaani we acha tu
   
 8. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,125
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  t means if Tanzanians are 41.6mil. Each should have created employment,Thus should have created 41.6mil.employments in order to complain unemployment rate! Thus each is employed! It means therefore no need to complain!
   
 9. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,125
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  sijui nchi yaenda wapi hii.
   
 10. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  m2 wangu Gsana na kama hyo unayosema haitosh kuhusu pesa hata makabila nayo yanachangia mana mm nimemaliza na masela wangu wote tena ni WAHAYA ninaamua kusema wameajiliwa wote hii shaur ya ubaguz mana wao hakuna cha nini wala nini na kuhusu GPA baadh yao nimewazid tena Sana 2 ila kutokana na ukabila yeye kaula mimi 2pa kule mana 2nafanya wote kamrete ila yeye ndo anajulikana sema kwasababu ni kabila lilelile mimi 2pa kule jaman tanzania kama ni hv itabid 22miane majin ili 2pate ajira mana cjaona tofaut kat ya mm nilie soma na yule teja aciesoma mana wote 2kiwa pa1 2nakuwa sawa 2uu
   
 11. P

  Pokola JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 716
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  :a s 20:
   
 12. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #12
  Feb 5, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,186
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Acha kulalamika..be positive. Kuwa mtoto wa mkulima should not deter you to achieve your dreams. Kuna wengi wetu humu..we have worse background than yours probably. Lakini haijatukatisha tamaa..na infact ndo imetupa courage na determination ya kupambana.. Na kwa Tanzania kuwa mtoto wa mkulima its normal kwa wengi wetu. Hivi hujiulizi hao ambao wamewin..walitoka vipi? si wote ni mafisadi. Tatizo wengi tunapenda kuplay-victim card....My advise to you: Piga shule kwenda mbele, be positive and believe that you can get what you want. And remember..it is your responsibility to succeed. NO BODY OWES YOU ANYTHING!:violin:
   
 13. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #13
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  cjakukatalia MASANJA tena upo sawa kabisaaa bro!. Isipokuwa unaweza ukapga shule mpaka ukawa profu na uprofu ukapitiliza ukawa pasta. Tatzo ni nini hapo kupata kaz hv sasa inaitwa ni nan anakujua au inaitwa kamlete. Je kama shule unayo na kamlete hauna unategemea nini kama co kuzunguka na vyet utazan muhamiaji marekan na passport. Hvyo tatzo linakuja hapo broo ndo kwny tatzo kusoma sasa hv co ishu, ishu ni kwamba nitatoka vp na nan ananijua? Hii ndo tanzania kama ha2maishia jeshin kama co walimu
   
 14. M

  Mayu Ngoma New Member

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajamii, tuwewakweli, unemployment ni issue moja wapo ambayo imemletea mubaraka hayo yote tukiacha, ugiriki, nk. Employment ni jukumu la serikali kwa wananchi wake, lakini kwa tanzania hi ya JK, dont be over expectant, lazima tukaze boot, tubuni ya kubuni na kuchesi ndoto za maisha yetu. Yes we can make it amidst the corruption, tribalism, sectarianism, etc. Kina 'bill gates' nadhani wapo kati yetu, not so educated and not so outstanding 'upstairs' lakini have made History. Issue ni - ''what's yo vision for life?''.Identify that and go for it!!:roll:
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Acha mawazo ya Kizamani wewe dogo! Hizo ofisi wanaongea kihaya?
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,319
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Thanks mazee! Huyu jamaa hana confidence kabisa yeye mwenyewe ni tatizo!
   
 17. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,540
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  Kwani lazima uajiriwe? Darasani wanakufundisha kwamba ni lazima uajiriwe?
  Tujifunze kujiajiri :roll:
   
 18. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,843
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kijana kapige kura uondoe mafisadi kwenye madaraka. Uchumi utakuwa vizuri fursa zitakuwepo kwenye nchi, investment zitaongezeka then ajira zitakuwepo. Kama mtu unapiga mabomu watu kwenye mji wa kitalii unategemea nini??
   
 19. M

  MJM JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Does the economic environment and education systems allow job creation from every individual? You made a westernized comment Sita Sita
   
 20. M

  MJM JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Hatukatai umuhimu wa kujiajiri ni mkubwa lakini point hapa ni upendeleo katika utoaji wa ajira ambao mwisho wake ni kuwa na viongozi vilaza sababu tu ya kubebwa. Pia point kubwa hapa ni rushwa ya fedha, ngono nk. Tusikimbilie kwenye kutoa suluhisho la kujiajiri wakati mgambo wa kuajiriwa atakuja kukuvunjia na kumwaga bidhaa zako. Siyo suala dogo tu la kusema watu wakajiajiri. wapi? kwa mipango ipi inayowawezesha kujiajiri?
   
Loading...