johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Wakazi wa jimbo la Kawe wanamshukuru aliyekuwa Mbunge wao dada Halima Mdee kwa kuwawakilisha bungeni na kwamba sasa imetosha apishe wengine.
Wakizungumza katika kikao cha maendeleo Kunduchi wakazi hao wamemtakia kila la kheri huko atakapokuwepo na kwamba wao wataendelea kumkumbuka kwa yale machache aliyowafanyia.
Maendeleo hayana vyama!
Wakizungumza katika kikao cha maendeleo Kunduchi wakazi hao wamemtakia kila la kheri huko atakapokuwepo na kwamba wao wataendelea kumkumbuka kwa yale machache aliyowafanyia.
Maendeleo hayana vyama!