Wananchi wa Kawe wapo barabarani wakiimba "TUNAKA MABADILIKO" kwa Mujibu wa mmoja wa waliohojiwa anasema masanduku yalikua kwenye ofisi ya Mtendaji na wanataka wamwage Kura zote kutoka masanduku yote na wahesebu upya...
Jamaa akasema hawayaamini tena koz kuna form walizosign tume na Mawakala hizo ndo zitumike koz kwa yale masanduku wanadhani kutakua na yale ambayo yamechakachuliwa............
Wasithubutu kufanya hivyo. Mdee ni mwanasheria anazijua sheria, juu ya kuhesabu kura kuwa mambo ya kuhesabu yanaishia kituoni. Hata JK juzi alirudia kusemea sheria hiyo.
Tume kazi yao ni kuingiza kwenye computer kumbukeni hata JK alijaribu kuelezea siku anatuaga watanzania kuelekea kustaafu kwake
ni walafi wa madaraka sadam husein yuko wapi? mungu ajalala jamai yupo macho kama kweli wanataka kuiba waacheni malipo ni hapa hapa dawa mungu anawaandalia
chadema kuweni macho ni bora muwajulishe wabunge wenu wasifanye maamuzi kabla ya kuwasiliana na makao makuu ili kupima uzito wa maamuzi vinginevyo rushwa itapita na wengi watakuwa wanakubali kurudia for the sake of rushwa
chadema chukueni hatua kukataa kurudia kuhesabu kama ambavyo wao wankataa kusini matokeo.
Sipendi kusema ninayotaka kusema lakini ukweli ni kwamba CCM haito acha huu us***e hadi damu itakapo mwagika.
Samahanini sana nimeyasema hayo kwa uchungu sana.
Kuhesabu kura mara ya pili ni kujipiga mchanga macho,Nini maana ya uchaguzi???Ndio maana Silaha alisema atakubali matokeo baada ya dakika 90 za mpira kuisha.
Mi nadhani kuna hila mbaya katika kutangaza, hii ni strategy ya kutangaza majimbo ambayo sisiem wameshinda na kuchelewesha ya upinzani, sina hakika itawasaidia kiasi gani, lakini yana mwisho.