Elections 2010 Kawe wanataka Kuhesabu kura Upya - Live BBC

Questt

JF-Expert Member
Oct 8, 2009
3,010
422
Wananchi wa Kawe wapo barabarani wakiimba "TUNAKA MABADILIKO" kwa Mujibu wa mmoja wa waliohojiwa anasema masanduku yalikua kwenye ofisi ya Mtendaji na wanataka wamwage Kura zote kutoka masanduku yote na wahesebu upya...

Jamaa akasema hawayaamini tena koz kuna form walizosign tume na Mawakala hizo ndo zitumike koz kwa yale masanduku wanadhani kutakua na yale ambayo yamechakachuliwa............

Jamaa wamekataa..................
 
Kwa nini CCM wanakuwa hivi? Wakubali matokeo mambo yaishe!!!!

Tiba
 
Hii ndiyo mbinu ya CCM ever since...
Creating chaos at the scene, while on the scrumbling, wachakachuaji wanaendelea!!! Basi... kushnei:doh:
 
wakikubali kuhesabu tena tu basi wamekwisha kwani for sure watakuwa wameisha chakachua
 
I am disapointed..........Ningekuwa sniper............you know what I would have done, right?
 
Hawa jamaa wanajua hawakutenda haki kwenye utawala wao hivyo lazima watumie gharama kwa ali yoyote!!
 
Wasithubutu kufanya hivyo. Mdee ni mwanasheria anazijua sheria, juu ya kuhesabu kura kuwa mambo ya kuhesabu yanaishia kituoni. Hata JK juzi alirudia kusemea sheria hiyo.

Tume kazi yao ni kuingiza kwenye computer kumbukeni hata JK alijaribu kuelezea siku anatuaga watanzania kuelekea kustaafu kwake
 
Chungu lakini tamu, wameze tu vidonge wasikubali waendelee hivyo hivyo hatutaki upuuzi
 
Pale Kibaha wamefanya hivyo hivyo baada ya kuona yule dogo anaongoza sasa matokeo yamegeuka CCM ndo wanaongoza
 
ni walafi wa madaraka sadam husein yuko wapi? mungu ajalala jamai yupo macho kama kweli wanataka kuiba waacheni malipo ni hapa hapa dawa mungu anawaandalia
 
Wamezoea Kumeza sasa chungu Kuhesabu kura ni kukubali kuzikwa ukiwa Hai Mdee Komaaaaaa usikubali kamweeeeeeee
 
pale kibaha wamefanya hivyo hivyo baada ya kuona yule dogo anaongoza sasa matokeo yamegeuka ccm ndo wanaongoza

chadema kuweni macho ni bora muwajulishe wabunge wenu wasifanye maamuzi kabla ya kuwasiliana na makao makuu ili kupima uzito wa maamuzi vinginevyo rushwa itapita na wengi watakuwa wanakubali kurudia for the sake of rushwa

chadema chukueni hatua kukataa kurudia kuhesabu kama ambavyo wao wankataa kusini matokeo.
 
Sipendi kusema ninayotaka kusema lakini ukweli ni kwamba CCM haito acha huu us***e hadi damu itakapo mwagika.
Samahanini sana nimeyasema hayo kwa uchungu sana.
 
Kuhesabu kura mara ya pili ni kujipiga mchanga macho,Nini maana ya uchaguzi???Ndio maana Silaha alisema atakubali matokeo baada ya dakika 90 za mpira kuisha.
 
Wao wakiambiwa kura zirudiwe kuhesabiwa waliko shinda mbona wanakataa?
 
Mi nadhani kuna hila mbaya katika kutangaza, hii ni strategy ya kutangaza majimbo ambayo sisiem wameshinda na kuchelewesha ya upinzani, sina hakika itawasaidia kiasi gani, lakini yana mwisho.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom