Jamani wana jf usiku huu kama saa 23:18 imesikika milio ya risasi maeneo ya kawe lakin bado sijajua tatizo ni nini lakin nahisi ni maswala ya uchaguz kwa sababu kuna muda nilisikia watu wakishangilia upande flani iv wa sokoni huko na ss milio imetokea maeneo ya ukwamani apo..............,!!!!tutajulishana asubuhi kilichojiri
Kawe ccm tumechukua
Kawe ccm tumechukua
ccm wamegoma kukubali matokeo kuwa wameshindwa.....
ccm wamegoma kukubali matokeo kuwa wameshindwa.....
ccm wamegoma kukubali matokeo kuwa wameshindwa.....
hapo itakua ccm chali.Jamani wana jf usiku huu kama saa 23:18 imesikika milio ya risasi maeneo ya kawe lakin bado sijajua tatizo ni nini lakin nahisi ni maswala ya uchaguz kwa sababu kuna muda nilisikia watu wakishangilia upande flani iv wa sokoni huko na ss milio imetokea maeneo ya ukwamani apo..............,!!!!tutajulishana asubuhi kilichojiri
Mwanyamala mtaa wa Msisiri A na B yote CUF wamechukua