Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Kijana ana vimbwanga sana
===
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amehutubia maelfu ya Wananchi wa Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga akiingia kwa staili ya pekee ya kutumia greda ambalo mara nyingi hutumika katika utengenezaji wa barabara.
Kawaida ambaye yupo mkoani Shinyanga kwa ziara ya siku mbili na leo Mei 03, 2025 akiwa wilaya ya Kahama amepokea taarifa ya utendaji ya Chama na Jumuiya kisha kutembelea mradi wa Chuo cha Ufundi Stadi wilaya ya Kahama na kuhutubia wananchi wa Msalala.
Akiongea na maelfu ya Wakazi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara, Ndg. Kawaida amewasihi Wanachama wa CCM kuendeleza umoja uliopo kuelekea Uchaguzi Mkuu na kujitokeza kujiandikisha kwa wingi awamu ya pili ambayo imeanza tarehe 01 hadi 07 Mei, 2025.