MZEE WA TEMBO
Member
- May 1, 2013
- 34
- 19
Hata simu za wanaume sitawekwa kava hii??? I am just asking!!
Mmmh..!! naona tembo wameamua kuvaa suruali na wanatembea na bastola kabisa kujihami na Kinana.
Duh, Kinana akiwaona tembo wa dizaini hii...wallahi wiki tu kawamaliza teh teh Safari_ni_Safari
Kinana hachagui mkuu, huyu atakuwa ndama....