Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,232
- 62,319
- Thread starter
- #21
Nimecheka sana,ila pia kuna kitu nimejifunzaKuna msemo "Pambana na hali yako" utumie msemo huu hadi siku Muumba anakuita,kama kuna MTU anayeweza kukusaidia kwa hali na Mali kuliko mtu yeyote ni Akili yako mwenyewe, nishaganyaga marafiki wote uchwara naishi kibabiloni na matokeo nayaona