Kauli zako Rais zitalitesa Taifa kwa muda mrefu, jaribu kupunguza hisia weka busara zaidi

Wewe lofa kweli,matundu ya choo ilikuwa hawamu ya nne wakati wa Kikwete,leta ushaidi tokea hawamu ya tano ya Magufuli,imeisha pokea msaada gani wa choo au shule?selikali ya Magufuli haitegemei misaada kuombaomba tena inafanya yenyewe.
Wewe Jamaa ni hasara kabisa Tena takataka usiyeelewa Lolote Bora Hata Panzi... Kwa hiyo mnaweza kujitegemea Kila kitu Siyo??? Basi hongera Sana. Mmepiga hatua
 
Ila kiongozi wetu sio mstaarabu. Kila siku anashutumu mabeberu wakati hapo akiumwa anaenda kutibiwa huko huko kwa mabeberu.
 
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania basi huna budi kuzichambua na kuzitafakari kwa kina kabla ya kuzitamka.

Mh Rais unaliumiza taifa silence na mwisho kilio kitasikika kwa sauti kubwa. Hawa watu tunawaita mabeberu wamewekeza sana kwenye intelligence zao kiasi wanajua kila neno na sera za mataifa yetu. Wanajadili kila neno linatoka kwa watawala, kiufupi they are smart than us and the can eliminate us within a second.

Rais wangu hakuna tajiri anajisifia tajiri na kama yupo huyo sio tajiri ni masikini. Tajiri anasifiwa na kamwe hajisifii, mataifa ya wenzetu wanatushangaa kila siku sisi matajiri sisi matajiri, utajiri huu upo kwenye makaratasi au upo kinadharia na sio kwa vitendo na hii ni kama hujuma kwako mwenyewe as u raise your voice we are reach wanazidi kutubana kiasi itafika mahali nakwambia uchumi huu uta collapse ghafla mimi nakwambia ukweli Mzee wangu maana kuwa Rais sio kuwa na hekima zote.

Yusuph mfungwa alitolewa gerezani kuja kutegua kitendawili cha Mfalme aliekuwa hajui afanye nini na ndoto yake. Yusuph akaiponya nchi na leo Wewe kama Rais wetu nakushauri punguza maneno ya kujisifu, sisi ni matajiri unatuweka kwenye shida ambayo hutaiona sasa ila watakao kuja kiti kitakuwa cha moto unless utatawala milele lakini japo kwa mwendo huu Zimbabwe inanukia Tz.

Mh Rais hivi ujiulizi Tz hatuna even a single vaccine na wewe tangu utoto mpaka leo umedungwa masindano ya kinga ya kutoka kwa hao mabeberu, why unatweza jitihada za watu wanaotumia pesa na mali zao kutafuta sisi tuweze ishi, hivi kweli mkuu unaona hii ipo sawa? Wewe ni mwanasayansi ila umezungukwa na vichwa vyenye akili kiasi even you unajua sasa why usijishushe kama Rais ukawasikiliza.

Kauli zako Mkuu zina athari kubwa kiuchumi na ustawi wa hili taifa kama hutokubali kutumia hekima ktk kauli au kusoma hotuba.

Hotuba zako zinakuwa analysis na big agency na zinakuwa published kwenye vyombo vyao, angalia kauli yako jana walichoandika na uone kile kitatokea.

Kwani tupo peke yetu hatujafunga uchumi mbona mataifa mengi yana endelea na kazi. Japan hawaja lock down ila taratibu zingine zina endelea kama kawaida shida hapa u hate protocol na kutushawishi tuone hizo protocol sio sahihi. Hapa mkuu unatuchanganya as a nation. Ukisema hawa mabeberu sio hawafai basi turudi kwenye zama mawe dini hatukuwa nazo na tamadun hizi lakin tusibeze kazi nzuri ya hawa wazungu kutustaarabisha so tusibeze kaz zao. Tupongeze kwa sauti kubwa tuwaponde kwa sauti ya chini huwo ndio ustaarabu.

Nani anatuonea wivu na kama anatuonea wivu anashindwa nini kututawala maana anajuwa siri zote na mipenyo yote ktk taifa Waingereza wamekaa hapa wakatupa Uhuru, wajeruman the same Mmarekan amesaidiana na sisi kupata uhuru pamoja na mataifa mengine kutusaidia kumbuka diploma sia ni kitu muhim ktk dunia ya sasa ndio maana wamarekani wakaona sera ya Rais wao alie toka sio nzuri wakamtoa.

Wakati unaitangazia dunia sisi matajiri nchi ya jirani wameongeza uwezo wao kivita nani tajiri mtu ameagiza magari ya billion of Usd kwa ajili ya kupambana na makaidi wewe Hapo Mkuranga na kusini unaona kunavyo tuchanganya. Sasa nani Tajiri?

Mimi nakuomba utafakari hili uliponye taifa. Mungu akubariki wewe na Taifa letu amen.
Kitu pekee viongozi wa Afrika wameweza kufanya kwa ufanisi mkubwa ni kuiba uchaguzi.
 
Saa nyingine ukiwa muoga sana utafika mahali unajiogopa hata wewe mwenyewe.
Labda mkuu wetu aliwahi kutendwa na girlfriend mwenye asili ya kwa mabeberu sasa analipiza kisasi maana yeye kila jambo anasisitiza kwamba ni mabeberu wanatuonea wivu,mara sisi ni matajiri, no wonder nchi yetu anayoisifia kwamba ni tajiri tumeshindwa kutengeneza hata chanjo ya kuku pamoja na utajiri wote ambao tunaogopa kuonewa wivu na mabeberu, chanjo zote tunazopata zinatoka kwa hao mabeberu, watoto wake, mpaka na wajukuu wamepewa chanjo za polio, surua, TB nk ila bado anapotosha mbele za watu kuhusu swala zima la chanjo, ukiwaza sana hupati jibu na wala hakuna direct connection between his words and the existing situation

Mfano uwepo wa korona na mabeberu kutuonea wivu, nani anaweza kunipa link ya hivyo vitu viwili au chanjo na utajiri wetu whats the connection in between?

Nadhani kuna wakati inabidi viongozi wa ngazi za juu au wafanya maamuzi wa Taifa wachunguzwe kabla ya kuruhusiwa kugombea hizo nafasi la sivyo siku atatokea kiongozi wa nchi atatoa tamko ambalo litaiangamiza nchi moja kwa moja

Cha msingi kila mtu apewe uhuru wa kuamua kupata chanjo au Laa, na sio serikali ituamulie kama serikali haitaki chanjo basi waruhusu private hospitals/clinics kuagiza chanjo na mwananchi anayetaka chanjo akalipie huko private achome lakini sio atupangie kwa sababu na chuki zake binafsi, msinhi wa Taifa ni wananchi, kwa hiyo ni lazima kila juhudi zifanyike kulinda afya za wananchi maana ndio wazalishaji na wajenzi wa Taifa.

Mwanakemia anaeponda chanjo wakati hajawahi kugundua hata drops za flue.
 
Wewe lofa kweli,matundu ya choo ilikuwa hawamu ya nne wakati wa Kikwete,leta ushaidi tokea hawamu ya tano ya Magufuli,imeisha pokea msaada gani wa choo au shule?selikali ya Magufuli haitegemei misaada kuombaomba tena inafanya yenyewe.
Na ile shule aliyoifungua juzi huko Kagera?
 
Labda mkuu wetu aliwahi kutendwa na girlfriend mwenye asili ya kwa mabeberu sasa analipiza kisasi maana yeye kila jambo anasisitiza kwamba ni mabeberu wanatuonea wivu,mara sisi ni matajiri, no wonder nchi yetu anayoisifia kwamba ni tajiri tumeshindwa kutengeneza hata chanjo ya kuku pamoja na utajiri wote ambao tunaogopa kuonewa wivu na mabeberu, chanjo zote tunazopata zinatoka kwa hao mabeberu, watoto wake, mpaka na wajukuu wamepewa chanjo za polio, surua, TB nk ila bado anapotosha mbele za watu kuhusu swala zima la chanjo, ukiwaza sana hupati jibu na wala hakuna direct connection between his words and the existing situation

Mfano uwepo wa korona na mabeberu kutuonea wivu, nani anaweza kunipa link ya hivyo vitu viwili au chanjo na utajiri wetu whats the connection in between?

Nadhani kuna wakati inabidi viongozi wa ngazi za juu au wafanya maamuzi wa Taifa wachunguzwe kabla ya kuruhusiwa kugombea hizo nafasi la sivyo siku atatokea kiongozi wa nchi atatoa tamko ambalo litaiangamiza nchi moja kwa moja

Cha msingi kila mtu apewe uhuru wa kuamua kupata chanjo au Laa, na sio serikali ituamulie kama serikali haitaki chanjo basi waruhusu private hospitals/clinics kuagiza chanjo na mwananchi anayetaka chanjo akalipie huko private achome lakini sio atupangie kwa sababu na chuki zake binafsi, msinhi wa Taifa ni wananchi, kwa hiyo ni lazima kila juhudi zifanyike kulinda afya za wananchi maana ndio wazalishaji na wajenzi wa Taifa.

Mwanakemia anaeponda chanjo wakati hajawahi kugundua hata drops za flue.
Kuna mambo mengine ni magumu kulimishana kwenye mitandao kwa muda mfupi. Hivi ni vitu watu wanasomea kwa miaka mingi na kufanya utafiti mkubwa. Tokea wakati wa utawala wa Kimisri mpaka wa Kirumi mpaka wa Kijerimani wakati wa Adolf Hitler. Kila mtawala anajaribu kukandamiza utawala mwingine, kama ilivyo China na Marekani leo hii. Afrika na sisi tuko hatarini kupotezwa kama hatutakuwa makini.
 
Back
Top Bottom