Kauli zako Rais zitalitesa Taifa kwa muda mrefu, jaribu kupunguza hisia weka busara zaidi

Deep state ndiyo iliyofanya hiyo kazi! Na mwaka 2020 wakafanya walichofanya kututhibishia jinsi walivyopungukiwa weledi.
Kunahitajika overhaul ya deep state yote.
Na akili zao zote waliona huyo ndio right candidate?
Hata kumshauri napo wanaogopa?

Hatuna balance & check systems kwenye mifumo ya uongozi. Yaan mtu akiwa kiongozi anafanya lolote lile. And no body talks.. no control .. not even bunge.. come on
 
Wewe lofa kweli,matundu ya choo ilikuwa hawamu ya nne wakati wa Kikwete,leta ushaidi tokea hawamu ya tano ya Magufuli,imeisha pokea msaada gani wa choo au shule?selikali ya Magufuli haitegemei misaada kuombaomba tena inafanya yenyewe.
Yaani inaonyesha jinsi ulivyo zwazwa matundu ya choo kuanzia shule za msingi hadi sekondari ni shida labda huna watoto wanaosoma shule umekalia kukariri ngojera za magufuri.
 
Wewe ndio lofa kabisa (by Mkapa voice)hivi kama sio Magufuli kusimama kiume kwa tishio la corana ya kwanza Watanzania situngelikuwa tunakula nyasi na madeni kibao, Sasahivi wameibuka na corona ya mala ya pili yenye nguvu kuliko ya kwanza, sababu malengo yao ya mala ya kwanza hayajatimia,je angelikimbia kununua chanjo na watu wakadungwa hizo chanjo mwisho wa siku unaambiwa kirusi hiki ni kikali kuliko cha kwanza hii chanjo haifai unafanyaje? Magufuli yuko sawa mtamuelewa badae kama vile ambavyo amkumwelewa mala ya kwanza lakini mwisho wa siku akaibuka kidedea kwa kukata mashaliti ya kizungu ya kufungia watu ndani.Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rai Magufuli
Kwa hiyo wenzetu kenya, Uganda na Rwanda wanakula nyasi?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mchungu. Mzee baba ni unfit. Bora akachagua kupumzika sasa.

Kwa hakika anahitaji mapumziko.
Bado tunaye sana huyu sio wa leo wala kesho, mpaka wote mkimbie nchi.
Mliisha zoea mambo mterezo.

Sasa ni kazi tu kama kuna wakufa wafe tu kama kuna watakaokimbia nchi, waende tu
Mpaka kitaeleweka.
 
Pana wazee wengi hawawezi kupumua.

"They can't breathe."

Watu nyie kutoka ile kanda maalum mnaweza kuwahami hawa kweli?

Au ndiyo mmepata nafasi ya kupunguza wachawi?
 
Labda mkuu wetu aliwahi kutendwa na girlfriend mwenye asili ya kwa mabeberu sasa analipiza kisasi maana yeye kila jambo anasisitiza kwamba ni mabeberu wanatuonea wivu,mara sisi ni matajiri, no wonder nchi yetu anayoisifia kwamba ni tajiri tumeshindwa kutengeneza hata chanjo ya kuku pamoja na utajiri wote ambao tunaogopa kuonewa wivu na mabeberu, chanjo zote tunazopata zinatoka kwa hao mabeberu, watoto wake, mpaka na wajukuu wamepewa chanjo za polio, surua, TB nk ila bado anapotosha mbele za watu kuhusu swala zima la chanjo, ukiwaza sana hupati jibu na wala hakuna direct connection between his words and the existing situation

Mfano uwepo wa korona na mabeberu kutuonea wivu, nani anaweza kunipa link ya hivyo vitu viwili au chanjo na utajiri wetu whats the connection in between?

Nadhani kuna wakati inabidi viongozi wa ngazi za juu au wafanya maamuzi wa Taifa wachunguzwe kabla ya kuruhusiwa kugombea hizo nafasi la sivyo siku atatokea kiongozi wa nchi atatoa tamko ambalo litaiangamiza nchi moja kwa moja

Cha msingi kila mtu apewe uhuru wa kuamua kupata chanjo au Laa, na sio serikali ituamulie kama serikali haitaki chanjo basi waruhusu private hospitals/clinics kuagiza chanjo na mwananchi anayetaka chanjo akalipie huko private achome lakini sio atupangie kwa sababu na chuki zake binafsi, msinhi wa Taifa ni wananchi, kwa hiyo ni lazima kila juhudi zifanyike kulinda afya za wananchi maana ndio wazalishaji na wajenzi wa Taifa.

Mwanakemia anaeponda chanjo wakati hajawahi kugundua hata drops za flue.
I believe he is mentally unstable!

Na aangalie sana asije akaondoka na Korona hii hii kama akina Nkurunzinza. Chattle siyo mbinguni!
 
kwenye Corona ipo siku mtakuja kumuelewa magufuli.
Tuombe MUNGU ATUPE UZIMA.mzungu
Kuna Mambo mazito na makubwa wanayoyafanya wazungu naa kutarajia kuyafanya ili mradi kuiangamiza dunia..
Aliyetengeneza covid 19 alikuwa na Nia gani?
Screenshot_20210130-130634.jpg
 
Vyombo vilivyomfanyia vetting na kumuona anafaa vijue tu vililikosea taifa.Hata kama hawawezi kutuomba radhi basi wasirudie Tena haya makosa.
 
kwenye Corona ipo siku mtakuja kumuelewa magufuli.
Tuombe MUNGU ATUPE UZIMA.mzungu
Kuna Mambo mazito na makubwa wanayoyafanya wazungu naa kutarajia kuyafanya ili mradi kuiangamiza dunia..
Aliyetengeneza covid 19 alikuwa na Nia gani?View attachment 1690259
Hapo wanatafuta namna ya kuwasafisha wachina tu.
Mwaka mzima umeshapita, watu wameshaharibu ushahidi then ndo mnakaribishwa mkachunguze?

Kitakachofanyika hapo maofisa wa WHO watapewa good time, mahoteli mzuri, huduma nzuri, wakirudi maofisini wanaandika ripoti nzuri ya kuisaifisha China baasi mchezo umekwisha!
 
Gazeti huku unaandika mafi tu,
Nenda kwa mabeberu mkutane na mwenzio mpigwe vidole vya matako kwa ajili ya sample.
Utakua umeunga jitihada Ufipa
 
Pamoja kuwa wewe ndio Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya taifa letu. Huna budi kukumbuka miiko ya kiti chako, nakukumbuka kauli zako iwe ni kwa uzalendo au ni kwa upendo mkubwa kwa watanzania basi huna budi kuzichambua na kuzitafakari kwa kina kabla ya kuzitamka.

Mh Rais unaliumiza taifa silence na mwisho kilio kitasikika kwa sauti kubwa. Hawa watu tunawaita mabeberu wamewekeza sana kwenye intelligence zao kiasi wanajua kila neno na sera za mataifa yetu. Wanajadili kila neno linatoka kwa watawala, kiufupi they are smart than us and the can eliminate us within a second.

Rais wangu hakuna tajiri anajisifia tajiri na kama yupo huyo sio tajiri ni masikini. Tajiri anasifiwa na kamwe hajisifii, mataifa ya wenzetu wanatushangaa kila siku sisi matajiri sisi matajiri, utajiri huu upo kwenye makaratasi au upo kinadharia na sio kwa vitendo na hii ni kama hujuma kwako mwenyewe as u raise your voice we are reach wanazidi kutubana kiasi itafika mahali nakwambia uchumi huu uta collapse ghafla mimi nakwambia ukweli Mzee wangu maana kuwa Rais sio kuwa na hekima zote.

Yusuph mfungwa alitolewa gerezani kuja kutegua kitendawili cha Mfalme aliekuwa hajui afanye nini na ndoto yake. Yusuph akaiponya nchi na leo Wewe kama Rais wetu nakushauri punguza maneno ya kujisifu, sisi ni matajiri unatuweka kwenye shida ambayo hutaiona sasa ila watakao kuja kiti kitakuwa cha moto unless utatawala milele lakini japo kwa mwendo huu Zimbabwe inanukia Tz.

Mh Rais hivi ujiulizi Tz hatuna even a single vaccine na wewe tangu utoto mpaka leo umedungwa masindano ya kinga ya kutoka kwa hao mabeberu, why unatweza jitihada za watu wanaotumia pesa na mali zao kutafuta sisi tuweze ishi, hivi kweli mkuu unaona hii ipo sawa? Wewe ni mwanasayansi ila umezungukwa na vichwa vyenye akili kiasi even you unajua sasa why usijishushe kama Rais ukawasikiliza.

Kauli zako Mkuu zina athari kubwa kiuchumi na ustawi wa hili taifa kama hutokubali kutumia hekima ktk kauli au kusoma hotuba.

Hotuba zako zinakuwa analysis na big agency na zinakuwa published kwenye vyombo vyao, angalia kauli yako jana walichoandika na uone kile kitatokea.

Kwani tupo peke yetu hatujafunga uchumi mbona mataifa mengi yana endelea na kazi. Japan hawaja lock down ila taratibu zingine zina endelea kama kawaida shida hapa u hate protocol na kutushawishi tuone hizo protocol sio sahihi. Hapa mkuu unatuchanganya as a nation. Ukisema hawa mabeberu sio hawafai basi turudi kwenye zama mawe dini hatukuwa nazo na tamadun hizi lakin tusibeze kazi nzuri ya hawa wazungu kutustaarabisha so tusibeze kaz zao. Tupongeze kwa sauti kubwa tuwaponde kwa sauti ya chini huwo ndio ustaarabu.

Nani anatuonea wivu na kama anatuonea wivu anashindwa nini kututawala maana anajuwa siri zote na mipenyo yote ktk taifa Waingereza wamekaa hapa wakatupa Uhuru, wajeruman the same Mmarekan amesaidiana na sisi kupata uhuru pamoja na mataifa mengine kutusaidia kumbuka diploma sia ni kitu muhim ktk dunia ya sasa ndio maana wamarekani wakaona sera ya Rais wao alie toka sio nzuri wakamtoa.

Wakati unaitangazia dunia sisi matajiri nchi ya jirani wameongeza uwezo wao kivita nani tajiri mtu ameagiza magari ya billion of Usd kwa ajili ya kupambana na makaidi wewe Hapo Mkuranga na kusini unaona kunavyo tuchanganya. Sasa nani Tajiri?

Mimi nakuomba utafakari hili uliponye taifa. Mungu akubariki wewe na Taifa letu amen.
Yote aliyosema ni sahihi ila mwishoni umeharibu, ambarikije mtu mwenye kiburi?
 
Hao wachina Wana maabara zao kabisaaa za KUTENGENEZA magonjwa.

Una woga wa kitumwa! Wewe ungekuwa raisi wetu mzungu angekuwa anakalia kiti Magogoni! Mawazo yako ni yale yale ya nchi zilizotawaliwa na wafaransa! Hujiulizi kwanza kwa nini chanjo ya waafrika imetengenezwa kwa ajiri ya waafrika tu! Usiwatetee hao watu siyo kwamba wanatupenda sana kama unavyofikiri! Njia nyingi zimetumika kumaliza hii ngozi nyeusi. Kama hawa watu hawajawahi kutufanyia ubaya kamwe, tusingekuwa tunawashuku kwa lolote. Tumeisha gongwa na nyoka.
 
Back
Top Bottom