Kauli za wanawake "bila mimi usingefika hapo ulipo"

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
7,376
Reaction score
16,537
Wanawake bhana walioolewa kidogo wakiongea hivi ina make sense, lakini hivi viruka njia vinashangaza vinaposema " bila mimi usingefika hapa ulipo " hizo kauli wakati mnaachana au unamwacha.

Wakati yeye kila siku mtu wa kuomba hela kila mnapokutana ni kama unanunua mzigo. Sasa amekusaidia vipi wakati hata sahani hajawahi kununua.

Hivi nye mnawaelewa hawa wanaosema usingefika hapa bila mimi.
 
Wanawake bhana walioolewa kidogo wakiongea hivi ina make sense ,lakini hivi viruka njia vinashangaza vinaposema " bila mimi usingefika hapa ulipo " hizo kauli wakati mnaachana au unamwacha. Wakati yeye kila siku mtu wa kuomba hela kila mnapokutana ni kama unanunua mzigo. Sasa amekusaidia vipi wakati hata sahani hajawahi kununua.

Vipi unadaiwa?
 
Waliumbwa kwa Ubavu wetu , wawe wasaidizi wetu usipo ishi nao kwa akili hamfiki popote.
 
Ex wangu aliachana na mpenzi wake kabla sijadate nae. Katika mazungumzo akalalamika kwamba mpenzi wake alimuacha bila kitu wakati yeye ndio alimshauri na kufanikiwa kufika hatua ile. Alimuacha hata hawajafaidi hizo hela.
Nilimwambia hapo hapo kwamba kama aliweza kumshauri ex wake akafanikiwa, atumie ushauri huohuo kufanikiwa nayeye kama ndio ulioleta mafanikio. Akiona hawezi ajue hata asingekuwepo yale anayoona yangefanyika. Alinuna

Baadae nikaanza kuombwa hela ya mchezo kila wiki mbili wanachanga na nani sijui. Nikaona ujinga huu nikaacha, nikamshauri ajifunze kitu fulani na sasa anapata hela kidogo uko. Ndio nikajua kweli kuna watu wana potential ila hawajui inabidi atokee watu wa kuwashtua kidogo. Tuliachana ila ni mzuri
 
Maneno ya shemej yangu mmoja hivi et oooh Kaka nilimsomesha bila Mimi asingefika hapo Mungu atanilipia
 
sasa hapo wewe ndo umemweka kwenye njia nzuri ,ungevumilia angekutoa kwenye njia
 
Maneno ya shemej yangu mmoja hivi et oooh Kaka nilimsomesha bila Mimi asingefika hapo Mungu atanilipia
hizi kauli zinakuwaga kukwama kimawazo ,kama ulimfanikisha mwenzako we ulisalia wapi,maana i' m hata asingemsomesha je akatokea mwingine akamsomesha si angefika tu mbali
 
Wanawake bhana walioolewa kidogo wakiongea hivi ina make sense ,lakini hivi viruka njia vinashangaza vinaposema " bila mimi usingefika hapa ulipo " hizo kauli wakati mnaachana au unamwacha. Wakati yeye kila siku mtu wa kuomba hela kila mnapokutana ni kama unanunua mzigo. Sasa amekusaidia vipi wakati hata sahani hajawahi kununua.

Hivi nye mnawaelewa hawa wanaosema usingefika hapa bila mimi.
Huwezi amini hii kauli katokq kuambiwa blaza angu jioni hii, kwasababu tu bro anafanya kazi kwenye Kampuni yao
 
ndo wanavyokuwaga ,wakati naanza maisha nilienda mkoani kufanya kazi kuanzia nilikuwa na hela ya kulipia chumba miezi 3 na godoro tu,nilifahamiana na demu kazini,nikamtongoza akakubali,kufika tu geto akaniruka mazima baada ya hapo hakunitafuta tena hata msg hajibu ,ila tunaonana kazini ,bhana mshahara ulivyokuwa unaingia kila mwezi kwanza nilikodi nyumba yenye hadhi,tv inch 50 ,sofa kitanda kidogo nikabadilika ,sasa nikavutiwa na mfankazi mwingine ambaye wanafahamiana ,duh aliposikia kwanza akaanza kuniponda kwake ,alipoona mwenzake ana msimamo akaanza kunitukana na kumponda kwangu ,ndo akaanza we bila mimi usingefika hapo ulipo..sasa nikiwaza hata sioni amenisaidia wapi.
 
Aaah wanahisi vile tukiwaambia kua tumewin wote wanaona na wao walikuwepo uwanjani kupigania kombe
 
ndo wanavyokuwaga ,wakati naanza maisha nilienda mkoani kufanya kazi kuanzia nilikuwa na hela ya kulipia chumba miezi 3 na godoro tu,nilifahamiana na demu kazini,nikamtongoza akakubali,kufika tu geto akaniruka mazima baada ya hapo hakunitafuta tena hata msg hajibu ,ila tunaonana kazini ,bhana mshahara ulivyokuwa unaingia kila mwezi kwanza nilikodi nyumba yenye hadhi,tv inch 50 ,sofa kitanda kidogo nikabadilika ,sasa nikavutiwa na mfankazi mwingine ambaye wanafahamiana ,duh aliposikia kwanza akaanza kuniponda kwake ,alipoona mwenzake ana msimamo akaanza kunitukana na kumponda kwangu ,ndo akaanza we bila mimi usingefika hapo ulipo..sasa nikiwaza hata sioni amenisaidia wapi.
Mmoja aliniambia kila mwanaume anekaanaye lazima akiwa naye, afanikiwe nashangaa nimefanikiwa wakati tumeachana kitambo, nakuhama ile wilaya.
 
Back
Top Bottom