Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
Ukishalewa unarudi tena kumzungumzia sitaWe bado unaendelea kumsikiliza Sitta, mwenzio nilishaacha zamani toka alipokuwa pale TIC!! Ni mchemfu mzuri tu, si unajua siasa za kuganga njaa na kulindana!!
Njoo savannah Lounge tujiburudishe na beer za baridiiii, achana na wanasiasa wa Tanzania!!
Tusiongelee habari ya Sitta...mfumo uliopo Tanzania ni mgumu mno mtu yeyote anayehitaji kufanya mabadiliko labda awe kwenye ngazi ya U-rais na hata Rais mwenyewe awe ni mtu aliyejitoa kweli na sio mtu aliotoka kwenye mitandao iliyopo. Ukitaka kubadili system iliyopo waliopo kwenye system wanakwambia huwezi kubadili system labda ubadilike mwenyewe....Ipo kazi kubadili system iliyopo tufanye maombi sana ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kubadili.
We bado unaendelea kumsikiliza Sitta, mwenzio nilishaacha zamani toka alipokuwa pale TIC!! Ni mchemfu mzuri tu, si unajua siasa za kuganga njaa na kulindana!!
Njoo savannah Lounge tujiburudishe na beer za baridiiii, achana na wanasiasa wa Tanzania!!
Umegundua eeeeeeeeeeKumbe tunaongea na walevi
Rais asiyetoka kwenye mtandao wowote labda awe alipatikana kwa sera ya mgombea binafsi. Lakini kama ni chama, basi lazima mtandao uwepo.
Tusiongelee habari ya Sitta...mfumo uliopo Tanzania ni mgumu mno mtu yeyote anayehitaji kufanya mabadiliko labda awe kwenye ngazi ya U-rais na hata Rais mwenyewe awe ni mtu aliyejitoa kweli na sio mtu aliotoka kwenye mitandao iliyopo. Ukitaka kubadili system iliyopo waliopo kwenye system wanakwambia huwezi kubadili system labda ubadilike mwenyewe....Ipo kazi kubadili system iliyopo tufanye maombi sana ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kubadili.
Mlitaka sitta afanyeje? mimi nafikiri amejitahidi wala wa Tanzania hatukumuunga mkono muda wote hata kwakuonyesha hisia zetu kwa maandamano or something like...
Ni vigumu sana kuwatetea wabongo wepesi kukutosa nawahurumia kina mrema..enzi hizo?
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe. Watz ni wagumu sana kutetea haki zetu, na ni wepesi wa kushangilia pale anapojitokeza jasiri kusema, lakini akisakamwa wote wanamgeuka. Utakumbuka wakati wa kudai haki vyuoni, kinachoelezwa ni cha kweli kabisa, na bila mgomo mambo hayatekelezwi, lakini bado kuna wale wanaotetewa hata hawaoni haja ya kuwepo kwenye mgomo, na anayejitokeza watamtosa kabisa. Ndicho kinachofanywa kwa watetea haki wengine, wanatoswa pale utawala wa kidhalimu unapowakandamiza. Ni mara ngapi Dr.Slaa amepewa support zaidi ya kushabikia tu anapowaumbua mafisadi?
Inabidi tubadilike tuanze kuwaenzi wapigania haki, kwa kujitosa kuungana nao hata kwa maandamano ya kuwaunga mkono.
BUT: sidhani kama Sita amefanya jambo la maana zaidi ya kutaka sasa kujipa sifa asiyostahili. Sio yeye aliyekuwa anakandamiza upinzani bungeni kwa ubabe wake?
watanzania tunaendekeza ziki za kijinga pasipo kufahamu nini matokeo yake na faida yake watu kama hawa ni wakuwakataa mapema na kuuwambia umma uozo waonibora tuendelee kuelimisha watu huku jf then bata baadae tuinyanyue tanzania safi kwanaza then mabo mengine baada wote tuelimike kwanza, angalia kauli za kisiasa eti kilimo kwanza , na elimu je,