Habari ya muda huu wana JF
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika mahusiano pindi yanapokaribia kufikia tamati kuna kauli ambazo mpenzi wako huwa anazitoa kwako
Zinaweza kuwa nzuri au mbaya lakin naamini Asilimia 90% huwa ni mbaya
Binafsi mimi kuna kauli moja niliambiwa nikabaki naduwaa
"Najua mimi sio mzuri lakini huwez kumpata aliyebora kunizidi mimi"
je wewe ulipewa kauli gani ambayo hadi leo unaikumbuka?
UZI UENDELEE