Hivi huyu mzee huwa hana washauri wa kumshauri kabla ya kuongea! haya ni maneno gani ya kusema mbele za waandishi wa habari, si ni wazi anaeleza kuwa January amebebwa pamoja na rushwa zote na rough alizocheza!
Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Bw. Yusuf Makamba alisema ushindi wa mwanawe, Bw. January Makamba katika Jimbo la Bumbuli ulikuwa wa lazima na iwapo angeshindwa ilikuwa ni fedheha kwake na kwa chama hicho.
Alisema kijana wake alipokuwa akigombea kuchaguliwa na chama hicho kukiwakilisha katika Uchaguzi Mkuu hakuwa January kama January bali alikuwa mtoto wa Katibu Mkuu wa CCM, hivyo ilikuwa lazima ashinde.
Source-Majira
Mtoto wake mwenyewe si mtaalam wa kuwatayarishia wengine vya kuongea(JK)?
yale yaleeeeeeeeeeeeeeeeeee! Masikini akipata....hulia mbwata mbwata!!Wakati huo huo, Katibu Mkuu wa chama hicho, Bw. Yusuf Makamba alisema ushindi wa mwanawe, Bw. January Makamba katika Jimbo la Bumbuli ulikuwa wa lazima na iwapo angeshindwa ilikuwa ni fedheha kwake na kwa chama hicho.