Nimemkoti mwanaharakati mmoja katika ukurasa wake wa facebook ameandika yafuatayo:-
Nimesikiliza video na nimesoma Gazeti la Mwananchi kuhusu Rais wa Tanzania, John Magufuli ambaye amefanya usajili wa laini yake ya simu kwa kutumia alama za vidole.
Kadhalika, amewasisitiza watanzania wote wahakikishe laini zao za simu zinasajiliwa kwa alamu za vidole (fingerprints) kama ilivyoelekezwa na TCRA. Ni kwa maslahi yao.
Hata hivyo, Rais Magufuli ameongeza siku 20 kwa watanzania ambao watashindwa kusajili laini zao kwa alama za vidole ifikapo Desemba 31. Watumie muda wa nyongeza, kufanya hivyo.
"Kwa wale watanzania ambao wengine walikuwa wamelazwa hospitalini wamechelewa wengine labda walikuwa wanasherehekea wamejisahau kusajili laini zao, wapo wengine walikuwa hawajaelewa maana ya kusajili kupitia wito huu watakuwa wameelewa."
"Nimeongeza siku 20 kuanzia tarehe moja (mosi) mwezi wa kwanza mpaka tarehe 20 mwezi wa kwanza...lakini ikifika tarehe 20 mwezi wa kwanza tusilaumiane, " alisema Rais Magufuli.
Alisema usajili wa laini za simu upo kote duniani: "Hata ungeenda ulaya (Europe) na ukienda ulaya lazima utoe paspoti yako ili kusudi upate laini yako isajiliwe."
Ameendelea kuandika na kubainisha kua:
Usajili wa simu wa Ulaya haufanani na usajili mpya wa simu wa Tanzania, ni tofauti sana. Ulaya matumizi ya 'fingerprints' kwa kila jambo, hakuna isipokuwa masuala ya dharura, kama uhalifu.
Lakini Tanzania sasa, kitambulisho cha Mtazania fingerprints, paspoti fingerprints, kusafiri fingerprints, zoezi la kupiga kura fingerprints, simu za mkononi fingerprints, kila jambo. Tanzania bora iitwe 'fingerprints country'
Wasaidizi wa Rais Magufuli, wajaribu kumpa picha kuhusu usajili wa simu kwa mataifa ya nje. Wamfahamishe namna ya usajili unavyokuwa...
Naomba kuwasilisha: