Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,990
uko sawa ila linking na matching itakuwa ngumu....Hopeful tunaelekea huko mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
mhalifu yoyote mkubwa anahitaji technolojia kufanya uhalifu, anahitaji na mtu wa ndani ili akamilishe uhalifu' hata kabla ya usajili uwezekano ni mkubwa kuwa matapeli walishirikiana na watu wa ndani wa taasisi za simu kufanya uhalifu' sasa leo tumewapa fingerprints zetu, je hawawezi kuzitumia tofauti na inavyotakiwa? Mm naamini ilitakiwa tuwe na database moja tu ya fingerprints then wao wachukue information kutoka kwa hiyo centre. Otherwise serikali inatakiwa kuwa makini sana na control. Isiwaze tu kuwa sasa tutawajua wote.
Sent using Jamii Forums mobile app