Kauli ya Rais Magufuli kuhusu kusajili line za simu: Mwanaharakati ampinga na kuiita Tanzania "Fingerprints Country"

Kuna tofauti kati ya utambulisho na fingerprints.

Fingerprints ni one of highest level of biometric identificatiin, usually reserved fir criminal investigations.

Usichanganye viwili hivyo.

Serikali ikianza kukusanya fingerprints willy nilly wakati tunajua hainanuwezo wa kutunza habari hizo za faragha, hilo jambo lina implicatiins mbaya sana.

Kesho unaweza kusikia database kenye fingerprints zote za Watanzania waliojisajiki simu zao limedukuliwa na watu wanaweza kupandikiza fingerprints zozote kwenye uhalifu wowote.

Hapo ndipo mtajua ujinga wa kushupalia fingerprint bika kuwa hata na uwezo wa kuzi secure.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi ndipo ulipo wasiwasi wangu. Tangu mwanzo nilivyoona finger prints zinavyochukuliwa kienyeji na nikifikiria jinsi tulivyo wazembe wa kuhifadhi data niliona siyo wazo zuri. Fingerprints zingekazaniwa kwenye ID na Passport halafu mtu akishakuwa na ID au Passport basi anajulikana automatically ni fulani. Uko sahihi kabisa na wala sipingi.
 
Wataalamu watuelezee faida nahasara kama serikali itakua na biometric data zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Faida kubwa ni kwamba, kwenye wizi wa mitandao na kutumia simu inaweza kurahisisha uchunguzi.

Hasara ni kwamba, inavunja faragha za watu. Serikali ina over collect data. Data sensitive za biometrics zinakuwa exposed. Serikali haina teknolojia ya kulinda hizi data. Data zikiwa compromised si kitu ambacho unaweza kubadilisha. Pia, mtu akikuibia simu yako na kuitumia kwenye uhalifu, hizo fingerprints zako hazikusaidii lolote wewe, sanasana zitakuponza kwa kukupa kesi isiyo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani shida iko wapi, hatakama kila service tukitumia finger print, kwani ni invasive procedure?!

Amesahau kua na maofisini watumishi wana sign in Kwa kutumia finger print.

Faida ya precise identy ni kubwa Kwa usalama wa nchi so mleta mada Kama ni suala la uelewa basi amino hiyo mwanaharakati anaweza kua na nia mbaya na nchi yetu.
 
Ni ujinga kutokuwa na uhuru wa mawazo kwa kufikiri ulaya ni bora zaid kwa kila kt sababu hawajafanya bc na sisi haifai kwetu kufanya au ulaya wakifanya na sisi ndio bora tufanye tena ni ujinga tuheshimu viongozi wetu si kila jambo tupinge na kwa serikari kupitia changamoto za uwiz mitandaoni imeamua kulileta hilii ndio maana na pengine ulaya changamoto kama hizi hazipo kwa hy kwao haina faida yoyote ukiangalia wenzetu ni ngumu kumuibia kutokanaa na uwelewa mpana na elimu sasa maskini ya Mungu wa mama wa vijijini huko wanaibiwa kilaa siku

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanyime ELIMU uwatawale kwa urahisi.
 
Nimemkoti mwanaharakati mmoja katika ukurasa wake wa facebook ameandika yafuatayo:-

Nimesikiliza video na nimesoma Gazeti la Mwananchi kuhusu Rais wa Tanzania, John Magufuli ambaye amefanya usajili wa laini yake ya simu kwa kutumia alama za vidole.

Kadhalika, amewasisitiza watanzania wote wahakikishe laini zao za simu zinasajiliwa kwa alamu za vidole (fingerprints) kama ilivyoelekezwa na TCRA. Ni kwa maslahi yao.

Hata hivyo, Rais Magufuli ameongeza siku 20 kwa watanzania ambao watashindwa kusajili laini zao kwa alama za vidole ifikapo Desemba 31. Watumie muda wa nyongeza, kufanya hivyo.

"Kwa wale watanzania ambao wengine walikuwa wamelazwa hospitalini wamechelewa wengine labda walikuwa wanasherehekea wamejisahau kusajili laini zao, wapo wengine walikuwa hawajaelewa maana ya kusajili kupitia wito huu watakuwa wameelewa."

"Nimeongeza siku 20 kuanzia tarehe moja (mosi) mwezi wa kwanza mpaka tarehe 20 mwezi wa kwanza...lakini ikifika tarehe 20 mwezi wa kwanza tusilaumiane, " alisema Rais Magufuli.

Alisema usajili wa laini za simu upo kote duniani: "Hata ungeenda ulaya (Europe) na ukienda ulaya lazima utoe paspoti yako ili kusudi upate laini yako isajiliwe."

Ameendelea kuandika na kubainisha kua:
Usajili wa simu wa Ulaya haufanani na usajili mpya wa simu wa Tanzania, ni tofauti sana. Ulaya matumizi ya 'fingerprints' kwa kila jambo, hakuna isipokuwa masuala ya dharura, kama uhalifu.

Lakini Tanzania sasa, kitambulisho cha Mtazania fingerprints, paspoti fingerprints, kusafiri fingerprints, zoezi la kupiga kura fingerprints, simu za mkononi fingerprints, kila jambo. Tanzania bora iitwe 'fingerprints country'

Wasaidizi wa Rais Magufuli, wajaribu kumpa picha kuhusu usajili wa simu kwa mataifa ya nje. Wamfahamishe namna ya usajili unavyokuwa...

Naomba kuwasilisha:

Tofaut kubwa ya Tz na huku ulaya. Watu wanajulikana data zao Zote mpaka unapoishi. So akigusa passport yako au res. permit yako inatosha kujua yote. Huko Tz. Uongo na utapeli mpaka wa majina nk. So usifananishe. Tunakua. Tutafika mahali Data Base itakuwa kam ili
 
Faida kubwa ni kwamba, kwenye wizi wa mitandao na kutumia simu inaweza kurahisisha uchunguzi.

Hasara ni kwamba, inavunja faragha za watu. Serikali ina iver collect data. Data sensitive za biometrics zinakuwa exposed. Serikali haina teknolojia ya kulinda hizi data. Zikiwa compromised si kitu ambacho unaweza kubadilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani.
Manake nikama naliona nijambo lakawaida sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi ndipo ulipo wasiwasi wangu. Tangu mwanzo nilivyoona finger prints zinavyochukuliwa kienyeji na nikifikiria jinsi tulivyo wazembe wa kuhifadhi data niliona siyo wazo zuri. Fingerprints zingekazaniwa kwenye ID na Passport halafu mtu akishakuwa na ID au Passport basi anajulikana automatically ni fulani. Uko sahihi kabisa na wala sipingi.
Hata kwenye ID na passport, kumuuliza ntu fingerprint ni kama unataka kumpima jedwali la wahalifu.

Magufuli ametaka kutoa mifano ya ughaibuni.

Marekani kuulizwa fingerprints ni kama unafanyiwa background checks za uhalifu.

Marekani kwa mfano, kupata pasaport huhitaji kuwa fingerprinted. Kwa ninavyojua, mtu pekee anayeulizwa fingerprint ambaye si mwenye mchakato wa uchunguzi wa uhalifu ni mhamiaji anayefanyiwa background checks kupata green card, kitu ambacho kinaendana na background checks.

Kuna kazi nyingine kama kwenye mabenki kabla ya kuajiriwa unafanyiwa background checks za fingerprints kuhakiki kwamba huna rekodi ya uhalifu.

Lakini hakuna huduma ya wananchi wote kwa ujumla inayoshurutisha fingerprints. Na serikali inajua ikianzisha habari hizo, patachimbuka kwa hizo kesi zitakazotokea.

Hapa wanaeleza masharti ya kupata passport ya Marekani. Wanasema hawahitqji fingerprints.

No Fingerprints Required

There are currently no fingerprinting requirements for U.S. passports. A proof of your citizenship, either in the form of a birth certificate, a previously issued passport, consular report of birth abroad, naturalization certificate, or a certificate of citizenship is required.Oct 5, 2017

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo ni zuri lakini nafikiri hoja hapa ni usalama wa uhifadhi wa hizo fingerprints. Ni vizuri usalama wake uwe mkubwa kuwa isije tokea mtu akaonekana katika uhalifu wakati hakushiriki. Inawezekana wenzetu fingerprints zina matumizi maalum na vyombo vya usalama ndiyo custodian wake.
 
Kwani shida iko wapi, hatakama kila service tukitumia finger print, kwani ni invasive procedure?!

Amesahau kua na maofisini watumishi wana sign in Kwa kutumia finger print.

Faida ya precise identy ni kubwa Kwa usalama wa nchi so mleta mada Kama ni suala la uelewa basi amino hiyo mwanaharakati anaweza kua na nia mbaya na nchi yetu.
Fingerprint ni invasive.

Ndiyo maana hao wenyewe waliogundua mambo haya hawaitumii kwenye usajili wa simu.

Sisi ulimbukeni wetu tumeijua juzi tunaifakamia.

Unasajiki simu jwa fingerprint, ikiibiwa na kutumika kwenye uhalifu, inaonekana wewe umefanya uhalifu.

Hapo fingerprint itakusaidiaje?

Ni ushamba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mengine ni sawa ila la kuweka deadline ndio tatizo liko hapo
Inabidi zoezi hili liendelee hata miaka kumi
Kama hata population yetu inasuasua itakuwa Haya
Fingerprints Ina faida kubwa kwa watu kwani hata kitu kikitokea kama uhalifu ni rahisi kumpata mtuhumiwa kama ameacha alama
Na victim pia hivyo hivyo
Ila zoezi liendelee kila wakati

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
NIDA ID haina cha maana zaidi ya hilo jina.

Kama kadi za mpiga kura tulitumia fingerprint, hati za kusafiria huchukuliwa fingerprint.

Leo wahuni wachache na project zao za kupiga hela wanalazimisha tutumie Nida Id..

Kana kwamba hizo ids nyingine zimetolewa somalia na sasa tupo Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kile kitambulisho hakina chochote cha maana. Wenzetu, nchi nyingine, kitambulisho cha Taifa, kina taarifa nyingi, na kinaruhusu kuingiza access mbalimbali. Cha kwetu, mchakato mrefu na tedious, halafu kitambulisho chenyewe ni rigid. Hakiruhusu kuingiza temporal access wala additional information.
 
Biometric Passport ina vitu vitatu vya msingi ni Fingerprint, Mboni ya jicho,na Sura(uso)
Na ndio makubaliano ya ICAO
Aibu kwako sio kwa nchi jiongeze.
Nchi ya kwanza kutumia BIOMETRIC PASSPORT duniani haikutoka ulaya ilikuwa Malaysia 1998.
Soma tena post yangu mkuu, JPM hana uzoefu aidha wa kuishi au kuzitembelea hizo nchi na taarifa anazotoa haiendani na uhalisia katika hizo nchi.
 
Wataalam wa diplomasia na itifaki wanajua ukiitumia nchi nyingine au entity nyingine kama mfano, unaweza kuanzisha mgogoro wa kidiplomasia kirahisi sana.

Magufuli ana sifa ya kuwa dikteta.

Huku ughaibuni kusajili kitu kwa raia asiye na hatia kwa alama za vidole kama mtu ni raia na si mhalifu ni jambo kubwa sana, kubwa sana kuliko linavyochukuliwa kirahisi bongo.

Wangefanya hivyo Marekani au Ulaya kungekuwa kuna kesi kubwa sana mahakamani watu wamepinga.

Ndiyo maana huyo kiongozi wa Ulaya anaona kufananishwa habari hizi na Ulaya ni kashfa kubwa sana ambazo hazifai kuachwa bila kujibiwa.

Magufuli kama anataka kuwaburuza Watanzania, awaburuze tu.

Asitumie mifano ya Ulaya ambako hakujui kukoje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii kitu nimeona hatuizungumzii kabisa. Tunaacha fingerprints zetu kila mahali kwa taasisi ambazo sidhani kama wana uelewa wa uzito wa jukumu la kuzikusanya na kuzihifadhi. Kwa kuwa hatuna sheria inayolinda taarifa binafsi za namna hii, ni ambo la ajabu wataalamu wetu hawazungumzii hili katika mijadala ya usajili niliyoiona. Ukiachana na GDPR ambayo inalinda raia wa Ulaya waliopo kwetu, nadhani Sadc wana utaratibu unaofanana kwa raia wao. Compliance kwa zote hizi naamini ni kizungumkuti. Majuzi tu Vodacom wamenitumia namba yangu ya NIDA (nadhani nilitoa namba ya simu wakati wa kuomba kitambulisho). Kirahisi tu personally identifiable information imekuwa shared Kwa uwazi tu na mitandao. Mpaka sasa sijasajili sim card kwa kiasi kubwa ikichangiwa na maswala haya yasiozungumzwa, na hiyo message ya Vodacom further justified my hesitation, contrary to their intentions.

I realise it may be the case of delaying the inevitable but until then, I am cool on registering.
 
Nimemkoti mwanaharakati mmoja katika ukurasa wake wa facebook ameandika yafuatayo:-

Nimesikiliza video na nimesoma Gazeti la Mwananchi kuhusu Rais wa Tanzania, John Magufuli ambaye amefanya usajili wa laini yake ya simu kwa kutumia alama za vidole.

Kadhalika, amewasisitiza watanzania wote wahakikishe laini zao za simu zinasajiliwa kwa alamu za vidole (fingerprints) kama ilivyoelekezwa na TCRA. Ni kwa maslahi yao.

Hata hivyo, Rais Magufuli ameongeza siku 20 kwa watanzania ambao watashindwa kusajili laini zao kwa alama za vidole ifikapo Desemba 31. Watumie muda wa nyongeza, kufanya hivyo.

"Kwa wale watanzania ambao wengine walikuwa wamelazwa hospitalini wamechelewa wengine labda walikuwa wanasherehekea wamejisahau kusajili laini zao, wapo wengine walikuwa hawajaelewa maana ya kusajili kupitia wito huu watakuwa wameelewa."

"Nimeongeza siku 20 kuanzia tarehe moja (mosi) mwezi wa kwanza mpaka tarehe 20 mwezi wa kwanza...lakini ikifika tarehe 20 mwezi wa kwanza tusilaumiane, " alisema Rais Magufuli.

Alisema usajili wa laini za simu upo kote duniani: "Hata ungeenda ulaya (Europe) na ukienda ulaya lazima utoe paspoti yako ili kusudi upate laini yako isajiliwe."

Ameendelea kuandika na kubainisha kua:
Usajili wa simu wa Ulaya haufanani na usajili mpya wa simu wa Tanzania, ni tofauti sana. Ulaya matumizi ya 'fingerprints' kwa kila jambo, hakuna isipokuwa masuala ya dharura, kama uhalifu.

Lakini Tanzania sasa, kitambulisho cha Mtazania fingerprints, paspoti fingerprints, kusafiri fingerprints, zoezi la kupiga kura fingerprints, simu za mkononi fingerprints, kila jambo. Tanzania bora iitwe 'fingerprints country'

Wasaidizi wa Rais Magufuli, wajaribu kumpa picha kuhusu usajili wa simu kwa mataifa ya nje. Wamfahamishe namna ya usajili unavyokuwa...

Naomba kuwasilisha:
Acha mawazo ya namna hiyo,,kuna ubaya gani kwa hilo la fingerprint,hayo ni maamuzi ya kila taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ujinga kutokuwa na uhuru wa mawazo kwa kufikiri ulaya ni bora zaid kwa kila kt sababu hawajafanya bc na sisi haifai kwetu kufanya au ulaya wakifanya na sisi ndio bora tufanye tena ni ujinga tuheshimu viongozi wetu si kila jambo tupinge na kwa serikari kupitia changamoto za uwiz mitandaoni imeamua kulileta hilii ndio maana na pengine ulaya changamoto kama hizi hazipo kwa hy kwao haina faida yoyote ukiangalia wenzetu ni ngumu kumuibia kutokanaa na uwelewa mpana na elimu sasa maskini ya Mungu wa mama wa vijijini huko wanaibiwa kilaa siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unamtusi Rais ambaye alifanya reference to US and Europe?
 
Back
Top Bottom