Kauli ya Rais Samia β€˜Mimi na Magufuli ni kitu kimoja’ ni ya Kisiasa zaidi matendo yao yanatofautiana

Samia Hana ujanja Kwa magufuli huo ndo ukweli
Ni Sawa na magufuli Kwa kikwete,kikwete Kwa mkapa,mkapa Kwa mwinyi, mwinyi Kwa Nyerere
Kwani huyo magufuli yuko wapi mpaka Mheshimiwa Samia akose huo ujanja? Yaani Mtu akose ujanja kwa marehemu!! πŸ€”
 
Ndio maana yakaitwa nyumbu Mkuu!
 
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuagiza Katibu wa wabunge wa CCM Jasson Rweikiza kuitisha kikao cha kamati ya wabunge wa CCM (party caucus) kwasababu ndio mahali wanaweza kudhibitiana.

Ndugai ameyasema hayo leo Jumatatu baada ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Lucy Mayenga kudai kuwa kuna kundi la wabunge wa chama hicho ambalo linamsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kudhoofisha alama zilizoachwa na Hayati Rais John Magufuli.
 
Mama bado anajitahid apate kupendwa na kila MTU, which is impossible. Kuiongoza tz lazima uwe mbogo, wabongo tunahatari balaa kwa porojo na unafiki.
Well said,mimi namuangalia tu,mbaya atabezi kwa kundi la wachache
 
β€œYeyote anayefikiria kuleta uhasama kwa Tanzania na kenya ujumbe kwake ni kuwa Tanzania na Kenya tulikuwepo, tupo na tutaendelea kuwepo," Rais @samia_suluhu_hassan.
 
Huyu hajaelewa kabisa
 
Kaka,waarabu wa pemba,hujuana kwa vilemba na SIKU zote wavuvi wa pweza hukutania mwambani.
Mara Mia,heri Samia kuliko lile lingine! Samia ni sawa na joka la mdimu. Litalinda watundao
Kwa ongezeko la mshahara wapi kitu kimoja
 
Tayari watu washapewa kesi ya Uhaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…