GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Naomba moja lililokuwa limebaki litue na kupasukia kichwani kwake!!.....
Da, Mungu atakuwa ametusaidia kweli....
great thinkers
no research, no right to speak.
Tafakari kbala ya kutenda.
Hizi ni fact au chuki binafsi kwa jk
wacheni kumsakama jk bila ya kuwa fact
Hana uchungu huyo ndio maana anaongea hivyoangekufa mkeo na mwanao naona hii point uliyoandika hapa ingekuwa na maana, otherwise ni upupu na kibaya zaidi rais wako anacheka cheka tu na watendaji wake, very weak Mr President - YES.
Kuna msafara umepita na inasemekana ni wa JK.
walioko huko watupe ishu.
angekufa mkeo na mwanao naona hii point uliyoandika hapa ingekuwa na maana, otherwise ni upupu na kibaya zaidi rais wako anacheka cheka tu na watendaji wake, very weak Mr President - YES.
Mimi binafsi sijapendezwa na maelezo ya JK akiwa kwenye eneo ka gongo laboto kwa yeye kutamka hewani na akijua yeye ni amiri jeshi mkuu kuwa maghala ya silaa yaliyolipuka ndio yalikuwa makubwa kuliko yote
habari yake Kama ni ya kweli naona kuwa tayari kishalidhoofisha jeshi letu kwa kuanika nguvu ya jeshi Hilo hewani na kuwatangazia maadui kuwa majeshi ya tz nguvu Yao iko gongo lamboto? Huyu kiongozi ni wa namna gani jamani.? Mambo ya usalama wa watanzania anaweka hadharani lakini mambo ya muhimu ambayo watanz wanataka kuyajua anakuwa Kama hayuko anaficha kwanini ? Kweli tunae kazi Mungu Atusaidie.
Hayo ni mawazo yake binafsi!