Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

Hopeless President I have ever seen!
Kweli Mswahili ni mswahili tu! Tuna nini cha kujivunia leo Tanzania? Umasikini unaongezeka, Rushwa kubwa zinakumbatiwa, uwajibikaji, uzalendo vinatoweka kama mawingu yapeperushwavyo na upepo~
 
great thinkers
no research, no right to speak.
Tafakari kbala ya kutenda.
Hizi ni fact au chuki binafsi kwa jk
wacheni kumsakama jk bila ya kuwa fact

Its nothing bali UDINI tuu umewajaa. Mungu si wa wanafiki bali wacha mungu.
 
Its nothing bali UDINI tuu umewajaa. Mungu si wa wanafiki bali wacha mungu.

kikwete hata angekuwa mkristo kama mimi. ameshindwa kazi. lazima tukubaliane katika hili.

ishu kama hii sitarajii waziri wa ulinzi bado anaendelea na ajira yake.


tusubiri tuone mazingaombwe zaidi.
 
great thinkers
no research, no right to speak.
Tafakari kbala ya kutenda.
Hizi ni fact au chuki binafsi kwa jk
wacheni kumsakama jk bila ya kuwa fact

Ni vigumu sana kumtetea JK. Ndio maana bado una posts tano tuu.
 
Rais wa ajabu kama alivyopatikana kwa ajabu.....sasa si asubiri wasaidizi wampatie briefing?....anaenda kufanya nini hasa?...mbona Arusha hakwenda au wale sio Watanzania?
 
angeanzia wizarani kwa kufaya waziri, ndio aone wahanga

why is he always going for easy stuffs?? kwenda kutembea rahisi lakini kufkuza mtu kazi ni ngumu sana... he irritates me alot
 
great thinkers
no research, no right to speak.
Tafakari kbala ya kutenda.
Hizi ni fact au chuki binafsi kwa jk
wacheni kumsakama jk bila ya kuwa fact

Unataka research gani?
unataka tafakari gani?
wewe una upendo gani?
wewe ulitafakari kabla ya kuposti?
Je wewe umeshafanya research ndio ukapata right to speak?

I am sorry to tell you that wewe ni crap, ndio wewe ni crap... what you see here ni emotions and despair kutokana na rais kuwa mtaalam wa post moterm, na amesema hali sasa ni shwari na watu warejee makwao, wakati huohuo jeshi limesema watu wake mbali kwani bado wanaondoa masalia

I think unanifanya nijiulize sana kama wewe una upendo wa kweli na watanzania wa kawaida na hasa maskini waio na watetezi

sikiliza manzi, naomba uende uwanja wa taifa uone hali
pita muhimbili utoe damu (kuna units chache sana)
nenda gombs uone hali
halafu piga picha kwamba waziri anakula bata
 
yah jk nimemuona mwenyewe na wakati nipo bnana gari la jeshi wakiwa na polisi na majeruhi wamesema kwamba watu wakae nyumbani na hakuna mlipuko tena wala kumalizia mabomu maana ndo habari zimezagaa mjini , wale watu wote watulie kabisa
 
Hakika wapo watanzania ambao uwezo wao ni mdogo hata kufikia kushindwa kutofautisha malengo na sababu za JK kwenda kushuhudia yaliyotokea Gongo la mboto. Kilichotokea gongo la mboto na Mbagala siyo mara ya kwanza kutokea hapa Duniani na imekuwa ikitokea katika nchi zilizoendelea pia kama vile India, Russia, Germany.

JK haendi kugawa fedha anakwenda kuwapa pole waliofikwa na janga pamoja nakujionea hasara iliyosababishwa na mabomu hayo kwa kuwa yeye anawajibika kwa kila Mtanzania ikiwemo wewe mwenye uwezo finyu , Kama akili zako zinakutuma kwamba watendaji wabovu ndiyo wamesababisha janga hili basi nakusihi uende kuanza chekechea kabisa kwa kuwa kwa sasa huna la kuchangia zaidi ya kuishia kulalamika lalamika pasipo kujiuliza na kutafakari mambo.
lame excuse,

kwasababu yametokea huko ndio sawa sio?? una uhakika kwamba huko hawakuwajibisha watu??

crap nyingine bwana zinachekesha
 
Huyu jamaa naona atakua kapewa kitu kidogo wakwend chekechea ni wewe na hao wezio wasi wajibika mana naona akili zenu zinafanana na c wazima kabisa
kinachotakiwa kwa watu kama wewe ni kuadhibiwa tu ili iwe mfano kwa watu kama wewe kujifunza
huyu binadamu asituzoee tukimchunguza nimmoja kati ya hawa wahucka ndomana anajitetea. Acha ujinga kuwa mjanja.
 
Dalili za kushindwa kuongoza nchi ndiyo hizi, sasa sijui anataka kuondolewa na nguvu kama mwenzake wa misri? Hivi wananchi wakimbilie wapi kupeleka matatizo yao - bungeni nako kumeshatekwa na mafisadi hakuna hoja ya msingi inaruhusiwa kujadiliwa.

Kwa style yake ya uongozi wa aina hii sijui kama tutamaliza ngwe hii salama. Bado mengine yaja.
.
 
yamlipukie na yeye akatibiwe india tuchukue hii nchi fasta....tumemchoka jamani..
 
Naona hawa wote tuwapeleke huko gogngo la mboto nawao walipuliwe kwani hawanamatumizi au manufaa kwetu
vitendo yao kwetu ni sawa na hiyo miilipuko na hakuna tofauti wanataka kutumaliza
 
Back
Top Bottom